Tulipokua watoto ukiwa unatafuta usingizi kuna vimawazo vya hovyohovyo na vya kufikirika huwa tunaviwaza kutafuta usingizi tu, wala havinaga maana sana.
Sasa huyu kijana vile vimawazo yeye anakuja kuviandika huku.
Lipa mwenyewe kwa simu au nenda benki.
Mawakala hawapati kitu zaidi ya kuwapotezea muda tu.
Commission ni 0.000.
Wangeweka hata sh. 300 tu nae wakala apate chochote kitu maana kodi yap wanabeba ila wao wanataka pesa wapokee bure tu.
Jamaa alikua anawachana kwanini wapo hapo na wafanyaje ili wachomoke bado wapuuzi wakamuona mwendawazimu na mbaguzi, blacks haijalishi wako wapi ukigusa tu maslahi yao basi utaonekana unawakandamiza.
Na weupe ndo wanaminyia humohumo.
Charlie alikua anaongelea vibaya watu weusi au alikua anawaambia ukweli??
Mi nilimkubali sana Charlie, jamaa alikua hana makuzi, hatukani, hatwezi utu wako ila nondo zake zitakutoa knock out.
Alikua anapinga ushoga na mambo yake yote kama hao trans, trans kushiriki michezo isiyo ya jinsia...
Sasa kaka mkubwa utakuaje DC au RC bila mchujo mkali wa kuaminiwa kua uko loyal kwa mkulu na serikali yake?
Na utaaminika vipi kama hukua kitengo,? Hata kama sio kitengo basi umeonekana kuna namna unaweza kua controlled kirahisi.
Ukiwa na udhibiti wa unachokula, ni rahisi pia kudhibiti hisia.
Ni kama vile kwenye mfungo wa kidini mtu anajinyima kwa siku kadhaa bila kufanya maasi. Kuna wengine hayo ndio maisha yao kila siku sio kwa siku 30 au 40 pekee ambazo wafia dini wanazugia.
Sasa aliekataa kuyazungumza si ndo huyo kazua balaa mkuu, au pointi yako ni ipi hasa??
Jamaa kakosa subra kafanya maasi au kuzungumzika ni yeye kupewa kile anachotaka bila kufata taratibu??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.