Mkuu hapo hata sielewi, mimi wakati wanaanza ku-display Databank, kulikuwa na oral interview moja ya mwaka 2021 iliyokuwa inasoma Expired, lakini haikukaa hata wiki moja ikabadilika na kuwa Selected for Oral Interview, hadi leo ndio ipo hivo hivo tu
Mkuu, hii haipo hivyo. Ina-expire kulingana na tarehe ambayo matokeo yaliingizwa kwenye system.
Natoa ushuhuda kwa mfano wangu mwenyewe. Nilifanya oral interview katikati ya October 2025, lakini hawakubadilisha status ya hiyo Oral kuwa Completed mpaka katikati ya November. Majina ya watu...
Wakuu, huduma zetu bado zinaendelea kwa ubora na bei nafuu.
Tunatoa huduma mbalimbali za research support, data analysis, academic writing, transcription, translation, and business document preparation.
Namba zetu mpya ni: 0670 972 664
Karibuni sana kupata huduma zenye ubora na kwa wakati...
habari zenu,
huduma iliyoletwa na tiGO ya kutumia Facebook bila internet kwenye simu yako kwa kupiga *148*01*4*2#...naona mizinguo tu maana kila unapojaribu ingia kwenye akaunti yako wanakuambia "system busy"....naona bora waisitishe tu!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.