Recent content by VINEGAR

  1. V

    Kuna wakati mipango yako yote inaweza kufeli, ukafanya kila kitu ikashindikana, ghafla Mungu anaingilia kati mambo yanafunguka bila kutegemea

    Hivyo basi, Mwenyezi Mungu huleta nuru/mwanga gizani, hufanya njia pasipo njia. Ili akuvushe lazima uwe mzigoni/ vitani. Uvumilivu/kujituma na kumwomba Mungu ndo silaha kuu bila kukata tamaa.
  2. V

    Kwanini matajiri wengi wa kiafrika wakifa na utajiri wao unakufa rasmi?

    Shida ni ubinafsi tu wa mwanzilishi wa biashara. Hafundishi mke/ mume wala watoto wake. Akifa nayo inakufa.
  3. V

    HUYU PAST ALIWAONYA WAZAZI KUITA MTOTO KELVIN MIAKA 7 ILIYOPITA.....KELVIN KELVIN

    Basi mie nimechelewa. Tayari nina Kelvin
  4. V

    Tatizo sio Kuomba namba ila Kumjaza kwenye 18

    Bora umekuwa muwazi. Ngoja waje manguli wakupe mwongozo
  5. V

    Nimempoteza mke wangu kipenzi

    Pole sana Mkuu kwa kuondokewa na mkeo.
  6. V

    Tanzania: Mahakama yapiga marufuku adhabu ya viboko shuleni

    Maana yake hata fimbo hazikuwasaidia.
  7. V

    Kuna watumishi wanajua kukopa nyie!

    Iliyobaki kakopea mtaani, akiipokea inapitiliza kwa kausha damu.
  8. V

    Je huyu mke wa jirani amefanya vyema?

    Usikute huku aliko kwa miezi sita tayari ana mke mwingine.
  9. V

    Wife ananifuatilia sana kwenye mitandao ya kijamii wakuu

    Kuna wenzio wanalia hawafuatiliwi kwa lolote na wake zao.
Back
Top Bottom