MICHIRIZI KWENYE NGOZI: SABABU, DALILI, KINGA NA NJIA ZA KUPUNGUZA MWONEKANO WAKE
Je, umewahi kuona mistari myekundu, ya zambarau au meupe kwenye tumbo, mapaja, makalio, matiti au mikononi?
Mistari hiyo inaweza kuwa michirizi inayojulikana kwa Kiingereza kama Stretch Marks na kitaalamu kama...