Hivi Samia huwa anavaa chupi mpya kila siku? Maana huo ukurutu anaoacha kwenye chupi kila siku unahitaji high end washing machine ya brand ya Miele pamoja na dedicated laundry woman. Au labda havaagi chupi?
Wataalamu wasomi wanapodai average IQ ya Watanzania ni chini ya wastani ndiyo utaona labda hawakosei. Kwa Mtanzania wa kawaida hilo dubwasha kwao ni "rais" na maisha yanaendelea.
Mtazamo kuwa thamani ya mtoto wa kiume kuzidi ile ya mtoto wa kike inatokana na mfume dume na utamaduni wa jamii iliyokuzunguka. Jiulize kwanini India na nchi nyingine, watoto wa kike wanauwawa ingali bado wakiwa matumboni mwa mama zao. Hii imesababisha India kuwa ina idadi kubwa ya wanaume...
Nani walikaa, kuhojiwa, kutafakari na kupitisha mkataba wowote wa kukubali ushoga kama moja wapo ya haki za msingi za binadamu? Maadili hayapitishwi na vikao wee mzee
Suala hapa ni freedom of speech ambayo hutafsiriwa tofauti katika kila jamii. Hakuna anayefuatilia mashoga wanafanya nini vyumbani mwao kama Dr Gwajima alivyosema hapo juu
Unazungumza on a very abstract level ambayo haiendani na uhalisia wa maisha ya kila siku ya Mtanzania. Hata Marekani na nchi nyinigi zilizoendelea kuna uvunjaji mkubwa wa haki za msingi za binadamu kila kukicha kwa hiyo argument yako haina mashiko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.