Recent content by venividivici

  1. V

    Lowassa kuwa Mwenyekiti na Sumaye kuwa Katibu Mkuu CHADEMA

    Kwahiyo, CHADEMA pia kina mtumia tu Mzee Lowasa. Mbowe anajua kuwa sasahivi ndani ya CHADEMA hakuna mtu mwingine ataweza kukubalika kwa wananchi katika uchaguzi ujao. Lakini CHADEMA kinasahau kwamba hili jambo zima la UKAWA ni jambo la Katiba na sio jambo la uchaguzi .. nao kwa hili...
  2. V

    Lowassa kuwa Mwenyekiti na Sumaye kuwa Katibu Mkuu CHADEMA

    Lowasa awe mwangalifu na watu walio mzunguka na watakao endelea kumzunguka. Natumaini katika mikakati yake yeyote na mstakabali wake wa kisiasa kama bado upo awe mwangalifu bila kuchanganya mambo. Pamoja na mengine mengi.. jambo kubwa lililomfanya aka anguka tokea wakati jina lake lilipo...
  3. V

    Alternative point of views to framing the topic and associated arguments - Dual Citizenship

    MICHUZI BLOG: Dual citizenship in Tanzania and the Diaspora Alternative point of views to framing the topic and associated arguments VIJIMAMBO: Dual citizenship in Tanzania and the Diaspora
  4. V

    Alternative point of views to framing the topic and associated arguments - Dual Citizenship

    These are interesting arguments... MICHUZI BLOG: Dual citizenship in Tanzania and the Diaspora Alternative point of views to framing the topic and associated arguments VIJIMAMBO: Dual citizenship in Tanzania and the Diaspora
  5. V

    Hoja mpya na mtazamo mpya kwa Diaspora ya Tanzania

    These are powerful views for the Diaspora.... jisomee mwenyewe VIJIMAMBO: Dual citizenship in Tanzania and the Diaspora MICHUZI BLOG: Dual citizenship in Tanzania and the Diaspora Alternative point of views to framing the topic and associated arguments
  6. V

    GE2010 Opposition parties need to come together to defeat CCM ili kumsaidia mtanzania

    Junior - Pointi nzuri uliyosema hapo. Kwahiyo kama vyama vingine ni pandikizi wa CCM then Slaa inabidi awe mtulivu na mwenyekufikiri kwasababu anafahamu mbinu za CCM. Huwezi kumwendea pupa mtu mwenye mbinu chafu na katiba ya nchi ina upenyo anaoweza kuutumia. Ndio maana nasema kwamba kama...
  7. V

    GE2010 Ban Ki-moon congratulates JK, Tanzanians for peaceful polls

    Ng'wanagwa - Kinehe ng'wanawane ulimhola ? Angalia, mbona unasemea wengine, unaridhaa yao ? , Hivi kumbe wewe post ili watu wa changie tu? is that the only option ? kama hujatambua bado, Unafikra tofauti na mimi and thats OK vilevile. Sitafuti sifa humu kama wewe naandika inapobidi tu... nipo...
  8. V

    GE2010 Opposition parties need to come together to defeat CCM ili kumsaidia mtanzania

    Tena kwa anayo yafanya sasahivi Dr. Slaa atajipotezea umaarufu wake wote aliojijengea wakati wa kampeni, we angalia Lyatonga yupo wapi kwasababu ya kubwabwaja - Watanzania sio wajinga bwana hata kama ni masikini. Mwalimu Nyerere hakufanya kazi ndogo. Nina mweshimu sana Zito Kabwe. Yeye katulia...
  9. V

    GE2010 Opposition parties need to come together to defeat CCM ili kumsaidia mtanzania

    Hii Habari hapo chini ni safi sana nimeitoa huko ippmedia. 1) Mimi nina support mapendekezo ya a much more independent Electoral Commission 2) Kuungana upinzani ili kuiondoa CCM kwani inanuka 3) Na kuandika constitution mpya Haya ndio mambo ambayo Dr. Slaa angeyawekea maanani kwa...
  10. V

    GE2010 Ban Ki-moon congratulates JK, Tanzanians for peaceful polls

    Ban congratulates JK, Tanzanians for peaceful polls By The guardian reporter 8th November 2010 United Nations Secretary-General Ban Ki-moon United Nations Secretary-General Ban Ki-moon has congratulated President Jakaya Kikwete and all Tanzanians for the peaceful 2010...
  11. V

    Dr. Slaa ni mbabaishaji na hafai kuwa kiongozi ?

    1) Hakuna ushahidi wa kura kuibiwa (ndio maana nasema huu ni ubabaishaji na uzushi). Tatizo ni kwamba watanzania tunapenda sana majungu, uzushi, umbeya baseless. Just because he was met by big crowds in campagn meeting haimaanishi kuwa zile ni kura - Unajuaje watu walikuja kusikiliza anachosema...
  12. V

    Dr. Slaa ni mbabaishaji na hafai kuwa kiongozi ?

    Ninaadika kwa masikitiko kwasababu mwanzoni nilikuwa nadhani Dr. Slaa ni kiongozi imara, nimegundua kuwa kumbe ni mbabaishaji na anajiharibia kazi yote aliyo ifanya katika kampeni yake. Nilikuwa sikubaliani na sera zake lakini niliona kuwa anakitiia changamoto CCM. Lakini kwa haya anayo...
  13. V

    GE2010 Viongozi wa Chadema tuambieni tukusanyike wapi

    THANK YOU ----Butola kwa kumuelewesha huyo jamaa. Kuna watu humu wanaleta jazba bila kuelewa. Vilevile wanaleta vurugu za kwenye keyboard hata social issues za Tunduru hawazijui ---- Ni rahisi sana kukaa kwenye keyboard na kuanza kulalama.
  14. V

    GE2010 Chadema chama cha umma - nguvu ya umma - ushauri - 'plan 'b'

    Mutwale - Ahsante kwa ujumbe wako. Kukubali tatizo ni mwanzo wa ufumbuzi wake. CHADEMA ni chama cha ukoo na ukabila ndio maana vyeo fulani chadema haviwezi kushikwa na mwingine. This can last only briefly... kwavile sio sustainable. Vyama vya namna hii ndio baadaye vinaweza kuleta mpasuko...
  15. V

    GE2010 Dk. Slaa mwanamume!

    Nami pia napenda kuungana na wewe kumpa Dr. Slaa pongezi za dhati kwasababu amewashikisha adabu CCM na kwamba kutokana na yeye kugombea uraisi na kura alizopata natagemea CCM watajifunza. Ingawa sera zake zingine sikubaliani nazo. Lakini kawashikisha adabu CCM.
Back
Top Bottom