Recent content by venister 98

  1. V

    Penzi la mpito lageuka mzimu kwenye penzi jipya

    Dah! mtihani kwa kweli, natumaini nitashinda.
  2. V

    Penzi la mpito lageuka mzimu kwenye penzi jipya

    Jamani asante kwa upembuzi yakinifu , pia naomba unishauri.
  3. V

    Penzi la mpito lageuka mzimu kwenye penzi jipya

    Nashukuru sana kwa ushauri.
  4. V

    Penzi la mpito lageuka mzimu kwenye penzi jipya

    Nashukuru kwa ushauri wako, naufanyia kazi.
  5. V

    Penzi la mpito lageuka mzimu kwenye penzi jipya

    Mara baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na mpenzi wangu kwa muda mrefu usiopungua mwaka na miezi kadhaa nilijaribu kutafuta suluhu kadri ya uwezo wangu na haikufua dafu. Nilipata msongo wa mawazo juu ya suala hilo kwani sikuwahi kufanya udanganyifu, hata kumjibu vibaya lakini amebadilika na...
  6. V

    Tafuta mtu unayeendana naye ili ufurahie mapenzi

    Kwelii kabisa mimi nakuunga mkono.
  7. V

    Kubinuka kwa makalio ya wanawake kwenye bodaboda

    Jamani hizi pikipiki kubwa au Baja ukikaa tuu lazima ubinuke, pia wapo wale wanaojibinua kwa kukusudia, cjajua huwa wanatafuta nini.
  8. V

    Uandaaji wa unga bora wa lishe kwa watoto, vijana, wazee, na wagonjwa

    Mahitaji muhimu ni ulezi 1kg, mahindi 1kg, karanga 1/4, mchele 1/4, ngano isiyokobolewa 1/4. Chambua viungo vyote Kisha uvisafishe baada ya hapo vianike Juani vikauke vizuri. Kaanga karanga kisha ondoa maganda yote, baada ya hapo changanya viungo vyote kwa pamoja, saga lishe yako tayari kwa...
Back
Top Bottom