Kwa wale wanaotoka maeneo yenye viwanda,madini uwa wanachukua mgao wao wa kimtindo achilia mbali 10% ya mauziano ya ardhi pamoja na magumashi yao ya ku backdate ardhi za watu kisha kuuza kwa wengine.
Nimenunua jembe la kwanza wamechukua,nimenunua la pili nalo wamechukua,fyekeo wamechukua,ngazi yangu pendwa wamechukua,nyundo wamechukua ukimwambia mtu rudisha anapotezea ila chanzo ni wake zetu. Ujirani kazi.
Mtoa mada inawezekana si mfuatiliaji wa mambo ya burudani kote ulimwenguni hivi unajua wenzetu wa Ulaya ni wafuatiliaji zaidi wa hizi burudani kuliko sisi hapa Tanzania? Embu tazama hata namba ya mashabiki kwenye viwanja vyao uwa ni full house kuliko sisi ambao idadi yetu Bado duni ila mwisho wa...
Radio bado zinasikilizwa sana hata Benjamin Mkapa utakuta mechi inaendelea uku jukwaani mtu anasikiliza radio kwaajili ya kupata uchambuzi nk, kwangu nikiwa natazama mechi za kwenye TV uwa sikosi Radio kwa sababu ya ujinga wa TANESCO
Nguvu ya CCM ipo kwenye mashina na kule walio wengi wanamiliki vitochi Hawa wa smart phone ni wachache katika chama na wapo kimkakati zaidi habari ya YouTube kwao kupoteza muda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.