Recent content by uttoh2002

  1. uttoh2002

    Asikwambie mtu, kuishi single kunaharibu sana afya ya akili

    Akili tu huna, kwamba ukiwa single upigi miti? Kuwa single ni kutokufuga mwanamke!
  2. uttoh2002

    Lissu kahukumiwa kufungwa. Mmepata faida gani kisiasa zaidi ya kuchukiwa zaidi na wananchi?

    Lisu analipa gharama ya Mwisho kuwa Rais; CCM mna watu wasio ba akili
  3. uttoh2002

    Wanaume: Zama zimebadilika

    Ku chase wanawake hata kama huna 1 cents ni sawa, issue ni kupenda Mwanamke, kumuweka moyoni na kutangaza ndoa!!!!
  4. uttoh2002

    Kwenye talaka yenye mgogoro hakuna aliye msafi

    Talaka ni nyepesi kuliko jambo lolote, ondoka, nenda Tafuta Mwanamke, au Mwanaume mwingine Anza upya..... Aliyebaki anapenda ndoa, aende omba talaka, na mtu akiomba Talaka yake kwa nn umkatalie? Dunia ina watu wa hovyo, kesi na kuvuana nguo ya Nini??? Unataka talaka Mama? Ndiyo, tukutane...
  5. uttoh2002

    Kwanini Muislamu akifanya ouvu anahusihwa na dini yake tofauti na mtu wa dini nyingine?

    Imekaa kikora kora, ni Mungu gani anaweza kufurahia mtu kuuwawa sababu Kamkis mkewe na matokeo yake wameacha mjane? Dini Haina hata kusamehe
  6. uttoh2002

    Intuition yangu inaniambia kuwa Polepole yu hai Bado. Tumwombee

    Lile Jabali kweli kama limekufa ni hasara kwa Taifa
  7. uttoh2002

    Kuhusu Hukumu ya Mwana TLS Tundu Lissu, Natoa Pongezi kwa TLS Kukaa Kimya Bila Kukurupuka Kutoa Maoni Yoyote Kuhusu Hukumu Hiyo, Halafu ...

    Huna tu akili; hili limetokea Ijumaa, Leo J3, hakujawa na kazi toka hukumu, sasa sijui ulitaka waache kufurahia weekend kwa haraka gani? Tamko tunalileta!
  8. uttoh2002

    Apata mimba live akiwa kanisani kwa Mwamposa.

    Wizi wizi tu na utapeli
  9. uttoh2002

    Mwigulu ni new version ya magufuli

    Kuna watu mna vipaji vya upumbavu
  10. uttoh2002

    UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Si wamuache tu huyu Jamaa aisee, Mbona hii serikali haijui kutengeneza Jina na kuwa na sifa njema
Back
Top Bottom