Recent content by uso wa punda

  1. U

    Sijui ni wangapi nimewaambukiza mpaka sasa. Wengi ni waume za watu

    Rudia kusoma kwa jicho la tofauti kuna kitu hakipo sawa, Ukiitwa kwenye fursa kuwa makini yawezekana wewe ndo fursa yenyewe.
  2. U

    GE2025 Humphrey Polepole ajiuzulu Ubalozi, asema hawezi kuendelea kuwa sehemu ya uongozi usiohamasika na utii wa misingi ya katiba na chama

    Kama ni kweli asubiri kupewa majina na kashfa za kila aina. Na hivi Nchi imejaa wajinga wengi wasiotambua na kuheshimu mawazo ama uwamuzi wa mtu!!
  3. U

    Ukifika Msamvu pale Morogoro, usipande magari yafuatayo...

    Alooo sijui kama abilia wanatetewa kwa kweli, hivi kazi ya latra ni ipi? Jana asubuhi nilikata tiketi ya mdogo wangu alikuwa anatoka Moro kwenda Mwanza gari inaondoka saa tisa alasiri Bahati mbaya kabla ya kuondoka dogo alipata changamoto ya kiafya akachelewa kama dk 10 gari ikawa imetoka...
  4. U

    PreGE2025 Wadhamini waliofika Polisi kumdhamini Golugwa wakamatwa

    vurugu mechi, Hata wadhamini na wenyewe wanamakosa!!
  5. U

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wakuu naombeni App nzuri ya kuangalia hii mechi live
  6. U

    Kuna rafiki yangu ana changamoto ya kazi msaaidieni ana hali mbaya kiuchumi

    Kuna jamaangu huko Morogoro alikuwa anatafuta kijana kwenye shughuli zake, Ngoja nitawasiliana naye kufikia kesho nifuate pm Narudia nifuate kama uko serious hapo kesho,
Back
Top Bottom