Bunge la katiba na kambi rasmi ya upinzani wapi na wapi??? Je anawazungumziaje CUF na NCCR Mageuzi ambao nao wameupinga mswada????? Jaribu kuwa makini hata wewe mleta uzi tumia AKILI.
Sidhani kama ni sahihi kumnyooshea kidole Mh. Msigwa pekee yake kwani upo uongozi wa machinga na serikali ambao wangeweza kukaa na kuangalia namna nzur ya kulitatua tatizo na siyo kutoa kisingizio cha mch. msinwa pekee.
Nadhani ni vema nikatoa ufafanuzi kidogo ili wale wote wenye uelewa mdogo kuhusu sera ya majimbo wayajue haya.
=Ikiwa CCM imeligawa taifa katika wilaya na mikoa ambayo mingi inaundwa na kabila moja tu, na CHADEMA inakuja na pendekezo la kuziunganisha wilaya hizo na mikoa kuunda kanda moja huku...
Kila la Kheri kwao. Nitazidi kuipenda CHADEMA kwa umakini mkubwa iliyonao ktk kubaini mapandikizi ya CCM. AMIN AMIN NAWAAMBIENI CHADEMA NI CHAMA MAKINI.
Tanzania inaelekea kubaya mfumo rasmi hauaminiki ndo maana watu wanaamua kuchukua sheria mkononi. Yatuypasa tubadilike kwani baadhi yetu wanapata matatizo ya kimaisha kwa upuuzi wa watu tuliowakabidhi dhamana ya kutulinda.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.