Recent content by Unyangwe

  1. U

    Heche ametweet kuwa hali ya usalama wa Lissu huko Ukonga, Serikali itawajibika. Je, kapatwa na nini?

    Inatia uchungu Sana Kwa uonevu huu Kwa lissu,madaraka ya kisiasa yanatumika vibaya kuwatesa WAZALENDO waovu CCM dhidi ya watetezi WA wananchi na umaskini, ,mateso,utawala huu hakika NI WA hovyooooo
  2. U

    GE2025 Rais Samia kuitetemesha Dunia Kesho

    Nonsense big bogus treat chief mangungo bogus treat
  3. U

    GE2025 Bulaya, Esther Mathiko washindwa kung'ara kura za maoni

    Wakomee na umalaya wao,umalaya🎒😁😁😁😁😁😁😁🤪🤪🤪🤪🤪🤪👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹👹☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️☠️💀💀💀💀💀💀💀💀💀💀💀💀💀💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😄😄😄😄😄😄😄😄😄
  4. U

    Picha: Waumini wa Ufufuo na Uzima wakiendelea na Ibada kwenye Ukumbi wa Kanisa Katoliki leo hii

    Walaaniwe wote wanae mkufuru mungu Kwa kuzuiwa ufalme wake,mwanakondoo ameshinda
  5. U

    Tahadhari: Mzee wa Msoga kuna siku utazomewa

    Mhuni kama alivyosema pole pole ,kikwete wewe NI mungu nini ? Mbona unatutesa watanzania namna hii,mungu WA kweli anakuona na tabia zako tumekuchoka Sana na tuombe mungu hakuchukue mara moja
  6. U

    GE2025 Afande Muliro: No Reforms No Election haipo kisheria, haiwezekani kabisa

    Je Oktoba tunatiki ipo kisheria? Je, wewe ni msemaji WA CCM katibu mwenezi, Je ni kosa la jinai watu kudai HAKi ya kikatiba kuwa na reforms na kupigwa kura? Mzee muogope mungu na teknolojia
  7. U

    Kauli ya Tundu Lissu kwamba hayati Magufuli alisingiziwa mengi inazidi kujidhihirisha

    Mbowe ,nakuita mara tatu,mbowe,mbowe,mbowe,hakika umetuchelewesha Sana Sisi wapinzani ,kumbe ulikuwa mchana chadema usiku CCM,duh hatari,sasa umekuwa CCM mchana usiku chadema ,umekwisha Mzee legacy yoooote kwisha.kujenga legacy NI ngumu Sana,lakini kuibomoa ni rahisi Sana kama kunywa konyagi kiruuu
  8. U

    Padri Kitima: Ali Kibao amekamatwa kwenye halaiki mchana, wanasema tunyamaze? Uovu lazima tuukemee!

    Kichwa chake Tu kinasadifu akili Yake kuwa mbowe kichwan butu
  9. U

    Rais Samia kaonesha udhaifu kwenye uongozi kushambulia wanaharakati kutoka Kenya

    Wakati ni ukuta ,sa100 utaondoja ktk cheo tu 2030 sio mbali nchi ni yetu wananchi sio ya familia tambua hivyo
  10. U

    Rais Samia kaonesha udhaifu kwenye uongozi kushambulia wanaharakati kutoka Kenya

    Hatari kubwa kwa ustawi wa kimataifa na nchi kwa ujumla, na demokrasia yetu ipo ktk mkwamo mkuu haki ya kutoa,maoni yenye mrengo Hasi ,kesi za kumbakizia kwa wakosoaji ,serikali.kwa Nini serikali inatumia nguvu kuziba midomo wapinzani??? Kuwanunua wapinzani haki haijawahi kushindwa na uovu
  11. U

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Tanzania ya Samia,ccm ya samia
Back
Top Bottom