Recent content by unju bin unuki

  1. unju bin unuki

    Mohamed alipenda kujitofautisha tu kukataa kifo cha Yesu

    The Ten Miracles of Prophet Muhammad ﷺ - What did Prophet Muhammad Do? Today, we will ponder on 10 miracles of prophet Muhammad bestowed by Allah the Almighty ﷺ. 1. The Beauty of the Holy Qur’an The first miracle of prophet Muhammad is the one that we can see to this day: the Holy Qur’an. In the...
  2. unju bin unuki

    Jaribio la kigaidi: Rubani kumchoma kisu rubani mwenzie na kulazimisha ndege kubadili njia

    Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu's latest visit to the United Arab Emirates took place on Sunday, September 27, 2026, though reports and official confirmations note he traveled to the UAE capital of Abu Dhabi rather than Dubai. Details of the Visit Date: Sunday, September 27, 2026...
  3. unju bin unuki

    Huyu mwenye nyumba sasa anatunyanyasa. Rais/Serikali iingilie kati jambo hili wanaichonganisha na wananchi

    Mdishi saba unapata muda wa kuangalia hayo yote hayo,Are u a house wife?
  4. unju bin unuki

    Magori apinga uamuzi wa CAF kuhamisha fainali ya Simba vs Berkane Zanzibar, ataja hatari ya vurugu

    Bado wanatembelea gia ya vurugu pumbavu,this time haitawasaidia mkacheze mpira
  5. unju bin unuki

    VIDEO: Hali ya Uwanja wa Mkapa ambao ulitarajiwa kutumika mechi ya Simba SC vs RS Berkane

    Uwanja wa Mkapa ulivyofungiwa wenyewe simba walichagua Amani stadium,marebisho hayajakidhi mnataka mkacheze wapi mbinguni?
  6. unju bin unuki

    VIDEO: Hali ya Uwanja wa Mkapa ambao ulitarajiwa kutumika mechi ya Simba SC vs RS Berkane

    Hii ni CAF sio bodi ya ligi ambao wanaweza kughailisha mechi kwa sababu ambazo ziko nje mchezo wa soka,hakuna wapumbavu CAF
  7. unju bin unuki

    Mke wangu amenipiga picha za makalio na kuzisave kwenye gallery

    Umeweza kutambua picha ya matako yako,hongera
  8. unju bin unuki

    Je, ni halali kupokea misaada ya nyama ya kafara toka uarabuni?

    Mshirikina Ndio mmeshindwa na ndio maana zinatoka huko nje
  9. unju bin unuki

    Hotuba ya Rais Samia yalituliza Taifa na Kukata kiu ya Watanzania juu ya changamoto ya umeme

    Wewe Wewe mama wengine tunakuheshimu humu ndani punguza shobo kwenye malalamiko ya wengi,
  10. unju bin unuki

    Stars ilivunjika baada ya Mohamed Hussein, Mzamiru Yassin na Himid Mao kutoka

    Na pia baada ya Mohamed Hussein kuumia nadhani angemrudisha Nova beki 3 then Kati angerudi Mwamnyeto
  11. unju bin unuki

    Asante Rais Putin kwa kutuondolea makelele ya Corona

    Umeshasema tumshukuru Putin na vita ya ukraine unataka chadema wakuambie nn?
  12. unju bin unuki

    Rais Samia kama hujamtoa Sabaya hayo maridhiano yako hayana maana yoyote kwa wana CCM

    Ok nilikuwa sijajua kumbe raisi anafanya maridhiano na waharifu wa kila aina,vey good
Back
Top Bottom