Recent content by uncwasi

  1. uncwasi

    Graduation za shule private kuna utofauti mkubwa wa matabaka ya kiuchumi, nawaonea huruma wanaosomesha kwa kujinyima halafu watoto waje kusota kitaa

    Kama unaona ada ya 3m kwa mwaka ni kubwa basi unatakiwa upambane sana,kama apo ulipo umekaa amka uanze kutafta hela.Yani 3milion per year unaandika uzi kabisa.
  2. uncwasi

    Nikiwa kwenye maandalizi ya tendo, manii zinatoka na hamu ya kuendelea na tendo inakata kabisa

    Hizo mambo za fore play achana nazo,we ukifika ipenyeze chapu
  3. uncwasi

    Mtu akisema wanawake wa JF wamezeeka anakuwa amejuaje?

    Kwani uzee ni ugonjwa?.Hata binadamu aliyezaliwa leo baada ya miaka lazma azeeke.Hata kama unajiona upo 30 leo baada ya miaka 30 mingine we ni mzee kikongwe.Haina haja ya kuchekana.
  4. uncwasi

    VIDEO: Hapa PolePole alikuwa anafurahia anayodanganya kuyaashangaa Leo!

    Unaijua vieite wewe,sasa amekosa ulaji anatupigia kelele
  5. uncwasi

    Nani kuvunja rekodi ya Mrema na Gambo Arusha?

    Karma is real kama huamini kamuulize gambo
  6. uncwasi

    Kwa WANAUME unapenda mwanamke wa aina gani?

    Mwenye umbo kama la binti wa zamani
  7. uncwasi

    Nilivyo ibiwa kimaajabu

    Pole sana haya mambo yanatisha
  8. uncwasi

    Wataalam UDSM wagundua na kutangaza dawa ya Corona(Covid 19) inaitwa FUKIZA

    Tumetoka mbali bado hatujafika lakini tumechoka
  9. uncwasi

    Msafara wa chief Godlove kwenda jimboni kyela

    Kwani hao wazee ndio wapiga kura?
Back
Top Bottom