Recent content by Uncertainty

  1. U

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco Igunga kuna tatizo gani hakuna umeme toka Jana Na hakuna taarifa yoyte Sent using Jamii Forums mobile app
  2. U

    Chemsha bongo kidogo hapa

    20 Sent using Jamii Forums mobile app
  3. U

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari ya jioni Tanesco nimenunua umeme wa Tshs 9150 kwa mita namba 24212170070 kupitia NMB Mobile ,sasa ni Massa sita sijatumiwa token naomba msaada niko gizani Sent using Jamii Forums mobile app
  4. U

    Kama unataka kujenga Fensi/Uzio pitia hapa tujuzane

    Mie kiwanja changu sqm 680 Niko kanda ya ziwa naomba hesabu tuone tunafanyaje kazi hiyo
  5. U

    PC Dell Latitude E 4310 Inauzwa

    240 chukua
  6. U

    INAUZWA Lenovo thinkpad l540 for sale

    Chukua 280,000/= Faster
  7. U

    Msaada wa kusomeshwa unahitajika haraka

    Mods naomba muufute Uzi huu please
  8. U

    Msaada wa kusomeshwa unahitajika haraka

    Yote nayo post ni kwa niaba yake
  9. U

    Msaada wa kusomeshwa unahitajika haraka

    Dah nimeshindwa kufanya mitihani imeanza Leo [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
  10. U

    Msaada wa kusomeshwa unahitajika haraka

    Hapana sikwenda kabisa niliamini Mawazo ya Baba Mdogo
  11. U

    Msaada wa kusomeshwa unahitajika haraka

    Habari zenu natumai mko salama..... Ninaomba kwenda kwenye lengo la Uzi huu Mimi ni kijana yatima (wazazi wangu walifariki nikiwa mdogo) kutokea mkoa wa Mwanza, kwasasa ninasoma chuo kikuu cha Kampala nikichukua stashahada ya Utabibu Historia yangu in kuwa mwaka 2011 nikiishi na baba mdogo...
  12. U

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari ya asubuhi ninaomba kupatiwa manual ya customer interface Unit WHCi04
  13. U

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Naona mmekaa kimya wakati watu tumetumia pesa.
Back
Top Bottom