Recent content by Ukwajushubir

  1. U

    Nyalandu acha siasa katika misiba

    Tehe Tehe Tehe
  2. U

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Hizi kauli zinanifanya nisimwamini Mungu wako.. Ati bwana alitoa, Bwana ametwaa, una maana huyo Mungu ndo kaua
  3. U

    Zitto atoa kauli juu ya Zuio la Gesi ya Tanzania kuingia nchini Kenya

    Zitto Zuberi Kabwe, umeandika vema lakini akili ya mkenya huijui, hawako normal as normal as think, Waziri wa Kenya alipopiga marufuku ashajua Tz tutalalamika, vikao vitakaa, itaruhusiwa, LAKNI KWAKE UJUMBE UTAKUWA UMEFIKA, NA WAPAKIA GESI MITUNGINI WATAHAMIA MOMBASA, NA WAKENYA WAKIENDA DUKA LA...
  4. U

    Tanzania ya Ujamaa ndani ya Ubepari uchwara(petty bourgeoisie)

    Mama unaandika vizur, Ungeungana na UKAWA 2015 NINGESOMA HII MAKALA, maake ningejua unaandika uhalisia, zaidi sana naona unaandika stories tu
  5. U

    Mining sector under the microscope: Is Tanzania purposely avoiding transparency?

    Wakati Forum Imejaa Vichwa, Hii Maktaba ukiipitia kweli kuna kila kitu
  6. U

    Serikali Imewafanyia "Bait and Switch" Madaktari?

    Umekuwa news reporter? Sijaona ulichoandika
  7. U

    Serikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu Magufuli kuwa ni Dikteta!

    Haujaelewa uandishi wa Mayala, Mayala kwa siku za karibuni ametumia style ya Kisengere nyuma, hasa katika masuala muhimu,, Nakuelewa Mayala Tehe Tehe
Back
Top Bottom