Recent content by ufo tz

  1. U

    PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

    Kwa mentality hii ,una safari ndefu sana ya kufikia uelewa wa jinsi nchi inavyoendeshwa! Hakuna Serikali itakuwekea Hela mfukoni mwako,lkn ili kuwa na Serikali inayowajibika kwako ni Lazima uisimamie!
  2. U

    Rais Samia, fikiria hatua sahihi kwa maslahi ya Taifa na familia yako

    Fanya utafiti kidogo kuhusu Ngorongoro..ni dude kubwa kuliko unavyodhani ..
  3. U

    Tundu Lissu: Siku napigwa risasi Paul Makonda alikuwa Dodoma

    Wewe taarifa za UKWELI kwako ni zipi?
  4. U

    Mazungumzo ya Ndg. Polepole leo 31 Agosti 2025 na umma

    Toa facts mbadala ili waTanzania tupate Elimu. Umekimbilia kum attack badala ya kutoa facts zako!
  5. U

    Mazungumzo ya Ndg. Polepole leo 31 Agosti 2025 na umma

    Hii ndio reflection ya waandishi ambao tunawategemea katika kupata maarifa...sasa ona jinsi Ndugu Polepole alivyomvua 'msuli' mbele ya wakweze!
  6. U

    Polepole: Rais Samia nakuheshimu bali sikuogopi

    Kwani wewe unayaogopa magari?toyo?..mbona unavuka barabara kwa uangalifu sana?
  7. U

    Britanicca: Alhamisi 28/08/2025 nitaleta Uzi ambao sidhani kama Taifa litabaki moja

    K Kwa tulipofikishwa,kiburi na dharau hizi ni lazima Kila mwenye nafasi ya kuwazibua masikio,afanye hivyo kwa maslahi mapana ya Nchi. Uoga wetu ndio msingi wa Dharau zao!
  8. U

    Poleni sana Tume ya Taifa ya Uchaguzi: Polepole amekuja kututhibitishia tu kwa nini Viongozi wa CCM wamekuwa na kiburi cha Uchaguzi

    Mungu akipenda hata kaburi lake litatumika kupunguzia...iwapo tumebanwa na haja ndogo..
  9. U

    Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi?

    Roho yangu inapata ganzi napowaza hii Hali ! TISS imefikia hapa?..Uzalendo kwa nchi umefikia hapa? ..au Kuna mwingiliano( usio na afya) na Intelijensia( tukufu) ya JWTZ? ...haya , je Wastaafu tena wabobezi nao wanajidanganya. kuwa anayewalipa viinua mgongo yuko timamu? Bora nianze upya kusoma...
  10. U

    Dr Slaa: Madai ya Humphrey Polepole ya kuhujumiwa kwa mifumo ya uchaguzi ni tishio la usalama wa nchi na taifa moja kwa moja. Huu ndio uhaini uhalisi!

    Una generalize CCM kama wengine wanavyo generalize CHADEMA. Magufuli pia alikuwa CCM ...kama jinsi FAM alivyokuwa CHADEMA.. Nakushauri ulitaje kundi husika ili kupata mantiki.
  11. U

    Anachokifanya polepole ni kuvivua nguo vyombo vya ulinzi na usalama TZ siyo CÇM hata Raisi hayupo salama chini ya wanamtandao.

    Tanzania ni nchi ngumu sana kuielewa.( Hasa Mimi mjinga). Ukiongea na Wana usalama wetu,mmoja mmoja...utauona Uwezo wao ulivyo wa kutukuka..sasa balaa linakuja wanapofanya jambo as a team..huwezi kuamini unachokisoma au kukishuhudia!
  12. U

    GE2025 Kanisa Katoliki Tanzania: Mkombozi wa Kweli wa Taifa. Leo tumefunga Novena; Tunakesha na Kuomba, kuiombea Tanzania - A Very Powerful Prayer!

    Wewe ni kati ya watu wanaonufaika kwa nchi yetu kufika hapa. Kwa bahati mbaya,kwako,Kanisa Katoliki halikurupuki !! Novena hii itatoa majibu kwenye maswali magumu. Kwenda kanisani kutudanganya kuwa unamwomba Mungu ilhali wewe unachowaza ni CHADEMA...umeshashindwa hata kabla hujaanza.
Back
Top Bottom