Recent content by Udart

  1. U

    Ofisi ya mkuu wa mkoa Dar iboreshwe

    Hapana hata ukiangalia post zangu za nyuma utaona mi Ni jamaa tu wa kitaa.
  2. U

    Ofisi ya mkuu wa mkoa Dar iboreshwe

    Salute. Naomba niende kwenye mada binafsi naishi Dar es salaam kiukweli OFISI ya mkuu wa mkoa Dar ningependekeza serikali ijaribu kuboreshea iendane na hadhi ya Jiji kiukweli ukipita pale ni aibu majengo ya kizamani ukiangalie na vile vigae hadhi inapungua ningeshauri mfanye jengo lenye...
  3. U

    Baada ya miaka miwili anarudi na kuomba nimuoe bila mahari

    Mtego huo..huruma sio malezi japo Kwa jinsi ulivyoeleza ni Bado unampenda huyo binti.
  4. U

    Mambo 20 ya kipekee usiyoyajua kuhusu Tanga

    TANGA NI MIONGONI MWA MKOA KIELIMU BADO UKO CHINI SANA.
  5. U

    Je, bank zetu za ndani hupokea vito vya dhaman kama dhahabu, almasi?

    Zipo Nina jamaa yangu anaweka Dtb bank dhahabu nk
  6. U

    Mchina Zheng Xiangming ateuliwa kuwa Chifu nchini Ghana wa kutoa fursa za ajira

    Mbona mnaichukulia negative mi binafsi naona. Wamefanya jambo la maana kilichofanyika ni kumheshimisha katika jamii anayoisaidia hata yeye atajisikia faraja kuonana mchango wake unaonekana na kithaminiwa amepewa heshima s
  7. U

    Baada ya maombi nimepata kazi,ashukuriwe Mungu

    Nami nakuombea pia upate Kila la kheri🙏🙏
  8. U

    Mvuto wa Ajabu: Watu, Watoto na Wanyama. Mabaya yapo pia

    We unafaa Kwa kafara ya Biashara tutakutafuta
  9. U

    KERO Mkurugenzi Garda World jitafakari, wafanyakazi tumekuchoka

    Gada.sga.g4s zote wamiliki ni ngozi nyeupe nb nilishatoka huko mda mrefu
  10. U

    Naombeni kazi, ndani ya miezi miwili nipate milioni 1

    Asanteh mkuu🙏🙏🙏🙏
  11. U

    Naombeni kazi, ndani ya miezi miwili nipate milioni 1

    Asanteh mkuu nimepata sehem wanalipa 30k per day
  12. U

    Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

    Huyo B 52 alikuwa na mikwara sana aka sultan nzoah aka fully dollar no bipabo
Back
Top Bottom