Recent content by Uchindile

  1. U

    PreGE2025 Askofu Gwajima: Ikatokea Abdul mtoto wa Mama Samia amechukuliwa kesho kaokotwa hana macho utajisikiaje?

    Kwahyo kwa akili yako unaona ubunge ni kila kitu dhidi ya uhai wa watu?? Kwann usikae tu kimya kuficha upumbavu wako mkuu.
  2. U

    Tetesi: Kikao cha Dharura namna na watu wa kumjibu Gwajima

    We jamaa upeo wako unaonekana ni wa chini sana.
  3. U

    PreGE2025 Gwajima maji ya shingo, kaanza kutapatapa

    Hv mkuu akili yako ndio imegota hapa?? Tuna safari ndefu sana kama Taifa isee.
  4. U

    PreGE2025 Tujikumbushe ya Askofu Gwajima

    Kuna muda uwe hata na aibu na ufiche ujinga wako.
  5. U

    LATRA yasitisha leseni ya mabasi ya Katarama

    Allys ye mwenyewe ana overspeed sana tu...toka Katarama aje na hizo G7 plus kuongeza Irizar 2 ,kukaa mbele kwa Allysimekua mtihani sana. Ila huyo Mkurugenzi Laurian M. KATARAMA atayamaliza.
  6. U

    Kante Amtafute Hakimi, Emmanuel Eboue awe Case Study

    Ila kama ni kweli Mwanangu Ng'olo kanisikitisha sana isee.
  7. U

    Kante Amtafute Hakimi, Emmanuel Eboue awe Case Study

    Huyo mtoto ambae sio wako by birth mnaishi nae nyumba moja??
Back
Top Bottom