Recent content by Tz Leo

  1. T

    Tupia jina la mwalimu aliyekuwa mnoko shuleni/chuoni kwenu

    Mpande alikuwa na mkwara hatari ,nakumbuka enzi za mchakamchaka wa saa kumi na moja alfajiri siku moja alipigwa ngumi moja na mwanafunzi alipomkurupua kwenye usingizi
  2. T

    NDOTO: Kila nikiota jambo hutokea kama nilivyoota; nifanyeje?

    Mimi hali hii hunitokea sana ya kuota kitu na kutokea ila mara nyingi huwa za matatizo,aidha misiba,ajali pamoja na wizi..
  3. T

    RE: kiwanja kinauzwa bei poa Busweru Mwanza

    Umesema kina hati! Je gharama za kubadilisha hiyo hati zitamhusu MUUZAJI AU MNUNUZI?
  4. T

    Msaada wa kumroga aliye Senegal, amenitapeli TZS 5 Millioni

    Sio Muongo hao matapeli waliibuka sana miaka 2011 na baadhi ya watu walilizwa bila kutafakari
  5. T

    Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    Nenda kapambane(kafanye hizo sup)usikate tamaa...utakaza mwaka unafuata ili kupata average nzuri ya GPA mwishoni masomo yako
  6. T

    Ni kazi gani uliyowahi kufanya ambayo unafikiri hautoweza kuisahau kamwe?

    Daaah...sitosahau pale nilipomaliza form four nilikuwa kibarua wa fundi ujenzi pamoja na kubeba zege ila mbaya zaidi pale nilipomaliza form six nilipata kibarua cha kutengeneza tambi katika kiwanda bubu fulani nilianza saa kumi jioni hadi saa kumi na mbili asubuhi malipo 1000
  7. T

    Video:Anasia Kwenye Kifua Cha Mke Wa Mtu

    Hahahaha... Mganga ametangaza shida...kwa yeyote anayetaka kinga amuone
  8. T

    Jina zuri la mtoto wa kike

    Salha Nasra Fildaus
  9. T

    Rudisha pikipiki tafadhari

    Wote walioshirikiana katika wizi
  10. T

    Rudisha pikipiki tafadhari

    Albadir yoyote wakitaka kusoma lazima watangaze ndio utaratibu.. ili mwizi ajijue maana ikishasomwa madhara yake ni makubwa mno na hutoweza kurudi kwenye hali ya kawaida
Back
Top Bottom