Recent content by Tyrex

  1. Tyrex

    Laptop lenovo 135,000tsh

    Lenovo laptop Ram 2gb hdd 64 Battery haikai sana Inafaa kusomea na kuangalia movie 135,000tsh 0743586474
  2. Tyrex

    Video: Kwa utapeli huu sioni sababu ya kununua gari kwenye baadhi ya yard

    Hio nikawaida sana gari ina mileage 258,000km inakua 58,000km ivyo yaani
  3. Tyrex

    Kix movies wanatuonaje sisi mashabiki wao

    Copyright mkuu movie za zamani nyingi zimeisha muda wa Copyright zake,, wew fatilia utajua zaidi
  4. Tyrex

    Mnavyofanyia watu matukio muwe mnafikiria kidogo

    Ukute kuna mtu alimchezea ndoa yake na maisha yake yaharibike kwa ujumla bdo hajachelewa anahitaji huduma spiritual
  5. Tyrex

    Aisee mpate pesa mpelekeni watoto wenu zile shule zinazosimamiwa na masista huko mikoani ila kuepuka vituko kama hivi kwenye hii video

    Hapo Mh Rais anahusika vp wakat maadili tunavunja wenyew toka ngazi ya familia kama mama na baba umeshindwa kuwahandle watoto wenu ndo mje kulaumu serikali kweli😌 halaf sikuzote Tabya mbaya zote huanza ngazi ya familia na kuambukiza huko nje ikiwemo na mashuleni
  6. Tyrex

    Aina 7 Za Simu Kali Kuliko Iphones, Pixels na Samsung Ila HAzijulikani sana Tanzania

    Kwani simu kua nyingi ni shida gani c heri uwe na kitu kilichobora
  7. Tyrex

    Wafanyausafi wawili wa treni ya SGR wamepandishwa kizimbani kwa tuhuma za wizi wa simu

    Ila sisi wa Tz imani hatuna kabsa yani watu wamegeuka kua na roho mbaya sana hata ukidondosha simu tu ndo bye bye
  8. Tyrex

    Ni michezo gani ya hatari uliwahi kufanya ili utoboe kimaisha?

    Mkuu sasa ulikua na hadi 40m ulishindwa kweli kuhonga hadi upate vibali kweli
  9. Tyrex

    Pombe feki zinalipa sana. Walevi jiandaeni na DIALYSIS!

    Bora wew mkuu huku liquid unamkuta mdada anakwambia me sinywi local beers 🙃🙃🙃🙃🙃
  10. Tyrex

    Zamani raha hiace Tsh. 3800

    Hio namba ya usajili
  11. Tyrex

    Pasi kuungua kwa kuyeyuka, tatizo ni nini?

    Pasi ni philips tuu hizo zngne makopo
  12. Tyrex

    hadi maandishi kwenye duka/frem now unayalipia???

    Yani ukianzisha duka kazi kweli kweli ulipie Kodi, umeme, maji, takataka, TRA Ile ya mwaka, uwe unatoa VAT, ULINZI kama kwenye frem hizo yupo unalipa na bdo ya mtaa unalipa tena, parking, bdo manisoaa na kodi zao siku atakuja polisi nao watataka chao ya soda 😄 🤣 😆 😂 yani hatari kweli kweli...
  13. Tyrex

    Natafakari kwa kina sana,huyu ni mzulu akiwa ametwaa duka moja kwenye ukanda wa maduka!

    Mpaka mwezi wa 9 si atakua kashafunga na duka lenyew
  14. Tyrex

    Shule inauzwa bei ni billion tisa(9), ipo Kitunda -DSM

    9bilions nakula kdg kdg hadi kufa kwangu no stress 😆 😁😁😁😁😁😁
Back
Top Bottom