Recent content by Twilumba

  1. Twilumba

    Ipokee hii Orodha ya Wasanii 10 bora wa muda wote Duniani (Greatest Of All Time)

    Tafuta namba wakae; 1. Snoopy Dog 2. Jay-Z
  2. Twilumba

    Lissu kupata msamaha wa Rais?

    😅😅😅😅
  3. Twilumba

    Stephen Wasira: Lema ni msema kweli, hivyo apongezwe badala ya kushambuliwa mitandaoni

    CCM kumsifia Lema nayo inaleta maswali. Anyway muda ni shahidi Muhimu.
  4. Twilumba

    Niulize kuhusu ugonjwa sugu wa Figo(CKD) na dialysis

    Pole sana Mkuu, Hata kwa huu uzi utasaidia wengi. Asante sana kweli JF ni dude kubwa!!
  5. Twilumba

    Kenya: Mahakama Kuu, Kaunti ya Nairobi yaamuru Polisi kumrejesha Twaha Mwaipaya akiwa hai au amefariki

    Furaha ya mtesi, Kifo chao kitakuwa cha majuto na mateso. Karma.....
  6. Twilumba

    PostGE2025 Mtu umechoma, umeiba, umeharibu mali za watu, ugomvi ukaibuka, wenzio wakafa sasa serikali imekosa nini?

    Huku pwani tuna msemo "Mwendawazimu anachekesha akiwa hajatoka kwenu". Nadhani utakuwa umenielewa.
  7. Twilumba

    Member wa Clubs kama Dar Yatch Club au Gymkhana wanajiona wamejipata sana

    Shukrani sana, Kweli kbs nashukuru tumekutana tena, JF ni dude kubwaaaaaa!!
  8. Twilumba

    Member wa Clubs kama Dar Yatch Club au Gymkhana wanajiona wamejipata sana

    Punguza ushauri kwenye pesa za watu. Wanafanya kazi, wanapata pesa wanatumia pesa
  9. Twilumba

    Nimeshangaa hii nguvu inayotumika na kanisa katoliki kuisambaza barua ya "kutakuwa na maombi" Mungu haombwi hivo, kuomba ni spiritual communication

    Kwani wewe ni Mkatoliki? Ya wakatoliki waachie wakatoliki maana hata huo waraka haijaelezwa usomwe Morovian au TAG!!
  10. Twilumba

    Twaha Mwaipaya atekwa na watu 'wasiojulikana' jijini Nairobi, Kenya

    ......afu utasikia serikali haiamini uchawi.......
  11. Twilumba

    Nyuma ya mgomo wa kula wa Tundu Lissu, Lipo kanisa katoliki

    Usilinganishe uwezo wa kifikra wa wanaoingoza Kanisa Katoliki na wanaongoza Madrasa ni mbingu na ardhi. Utang'amua vzr mwenyewe!!
  12. Twilumba

    Kipi bora kati Rapid HIV Test au Condom

    Condom is marvelous, HIV test can read both - and + U better watch ur health status!!
  13. Twilumba

    Aisee kuna siku natamani nilewe na wadau😅

    Taja watano wasio.... 1. 2. 3. 4. 5.
  14. Twilumba

    Kitendo Cha Bunge La Ulaya Kumnyima Lissu Tuzo Ni Ishara ya Wazi Kuwa Hata Wao Wameona Wazi Kabisa Lissu Ni Mhaini na Hawawezi Kuichafua Tuzo Yao.

    Lucas Mwashambwa , kama Lissu anatetea tumbo lake, basi wewe unatetea nini na maslahi ya nani? Ni rahisi kumshutumu mwenzako, lakini kabla hujahoji maslahi ya Lissu, eleza kwanza yako ni yapi!
Back
Top Bottom