Recent content by Twenzetu

  1. T

    Rwanda wanaanda Formula One, Kenya wanawakaribisha Bayern na Ajax, Tanzania Samia anatosha

    Rwanda wanajitahidi kwa kweli.niliona hata mashindano ya ITF kwa tennis huwa yanafanyika kigali
  2. T

    SKANDALI LA KIMATAIFA: Jinsi Mtanzania na Nyaraka za "Mihuri Halisi" za Dodoma Zilivyotumika Kusambaza Silaha za Sh145 Bilioni

    Ni kweli watu wawajibishwe lakini kwa waziri umemuonea.Waziri wa Ulinzi wa sasa kaingia lini ofisini na hizo nyaraka zilisainiwa mwaka gani?
  3. T

    John Heche ametangaza wazi kuwa yuko tayari kwa lolote hata kifo na hatokimbia nchi ,atabaki kupigania demokrasia

    Mimi Sina Chama chochote ninachokishabikia nakupa ushauri tu ndugu yangu na wewe uwekwe magereza ili utengeneze pesa kama unavyodai lisu katengeneza
  4. T

    Familia ya Urassa yakataa ukoo wa Kweka kufika nyumbani kwao wakati wa mazishi

    ndugu yangu mbona kama una makasiriko sana na wachaga
  5. T

    Ethiopia & Tanzania Zina Uchumi Mkubwa(GDP) Kuliko Uganda Lakini Bajeti Zake ni Ndogo Kuliko ya Uganda.Hii Inatokana na Nini Kiuchumi?

    uganda tulikuwa tunawazid bajeti but miaka ya karibuni wameanza kutuzidi,na hapo hawajaanza kuuza mafuta yao
  6. T

    Mjukuu wa museveni ambaye anaandaliwa kuja kuwa CDF,2040.

    mbona ushikaji wake wa silaha ni tofauti na wenzake,au pozi la picha
  7. T

    Askofu Kinyaiya: Ukistaafu nenda kwako kapumzike, Usitese watu nyuma ya mwingine

    ila wewe jamaa,MUNGU akusaidie tu.sio Kosa lako
  8. T

    Ambao mmetoka kwenye Familia zenye Upendo, Mshukuru Mungu

    pole sana ndugu naelewa maumivu unayoyapitia,MUNGU atakusaidia uyashinde ayo mapito
  9. T

    Ratiba ya Kiume (Daily Discipline)

    Hiyo ratiba ni kwa mtu aliyejiajiri au jobless kwa mwajiriwa haitekelezeki
  10. T

    Wewe Hafrey wewe

    Hii itakuwa ni uongo,Mavunde si anagombea jimbo jipya la Mtumba
Back
Top Bottom