Recent content by tutafikatu

  1. tutafikatu

    Kelele za Katiba mpya zinatoka kwa watu wasiozidi 100 tu. Tuwe makini na vipaumbele vya wananchi

    Wananchi wengi huwa hawana na hawajui vipaumbele. Ulisikia China wananchi wa kawaida wanamchagua kiongozi mkuu?
  2. tutafikatu

    Nini kilimuua Profesa Hubert Kairuki?

    Kwamba alitakiwa aishi miaka 930 kama Adamu?
  3. tutafikatu

    Kujenga magodown ndio ubunifu pekee wa wakurugenzi wengi wa taasisi za Serikali?

    Wakurugenzi wengi wa mashirika na taasisi za serikali hawana ubunifu. Kila siku ardhi zinazomilikiwa na taasisi zao wanazigeuza kuwa magodown, tena sijui hata kama mapato yake yanaingia serikalini. Hili ni tatizo la mifumo yetu kushindwa kufanya vetting sahihi. Mtu hata banda lake la kuku...
  4. tutafikatu

    TCU Simamieni Taratibu za Ubora Vyuo Vikuu. Uamuzi wa UDSM Kufuta Mitihani ni ishara Mbaya!!

    Bro itakurudia hii. Usichafue maisha ya watu kwenye mitandao.
  5. tutafikatu

    Mtu mwenye masters na hana degree ya hiyo kozi aliyopitia post graduate diploma anatambulika kwenye ajira?

    Taaluma ya mtu inatengenezwa na digrii ya kwanza. Mfano kama umesoma Hisabati digrii ya kwanza, halafu ukaja kusoma Uongozi digrii ya pili, wewe si mtaalamu au bingwa wa Uongozi. Ila labda baada ya Hisabati ukaenda kusoma Takwimu, wewe unakuwa Bingwa wa Takwimu kwa sababu Takwimu ni tawi la...
  6. tutafikatu

    Private candidate aliyepata 1-4

    Maksi za mwaka huu form six ziligawiwa tu, inawezekana kuondoka munkari na hasira za maandamano. Hazina ukweli.
  7. tutafikatu

    Hivi kati ya kuwa msomi na mfanyabiashara ni yupi ana advantage kubwa katika maisha ??!

    Shida wengi wenu mnadhani maisha ni kuwa na pesa tu. Hapo ndipo tatizo linapoanza. Wengine wanataka pesa kidogo, halafu WAISHI MAISHA WANAYOPENDA.
  8. tutafikatu

    Kati ya kozi mbili zifuatazo ni kozi ipi inalipa zaidi na ipo Marketable zaidi na yenye malupu lupu

    Unafikiria kuajiriwa tu. Kuajiriwa hakulipi, hata ukiongezewa mshahara mkubwa utaongezewa laki moja.
Back
Top Bottom