Recent content by Tumor marker

  1. T

    Nategemea kwenda Shinyanga kwa pikipiki aina ya Boxer, CC 125

    Mkuu fungua moyo. Waweza tembea na pikipiki hio umbali wowote. Dar- shy ni pafupi. Mimi nikuwa natembea mbeya to Bukoba via Iringa/Tabora huku nikitumia siku 2 na nilikuwa naenjoy balaa. Cha msingi ni kukipenda chombo. Nilikuwa natumia Sinoray 150-18 Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums...
  2. T

    Wapenzi wa Madilu System tukutane hapa

    huyu mwamba nyimbo zake ni next level
  3. T

    Car4Sale Kamata gari uitakayo kwa bei za kizalendo

    sawa bwana extrovert itabidi unipe chombo
  4. T

    2021 AFCON Special Thread

    nitalala vizuri leo. wanaBurkina wamefanya maajabu
  5. T

    Wataraji (Interns) tunateseka, Wizara ya Afya sikieni kilio chetu

    Bado mkuu endelea kuvumilia hospitali nyingi hasa za mikoani huku posho huchelewa sana na ndo kautaratibu kao ka wizara kalivyo. Bila shaka kufikia January katikati mtakuwa meingiziwa ya Desemba
  6. T

    Tathimini ya Safari kutoka Njombe kwenda Mbeya(231km) kwa kutumia pikipiki

    hio distance ya njombe mbeya ndogo sana. wajuzi tunakupigia mbeya to Muleba bukoba na bike km 1400 kwa siku mbili tu. nashea picha kidogo. watz tuache woga
  7. T

    T.O Elias Kihombo na tishio katika baadhi ya vitabu vyake vya Physics

    Tupe data mkuu, Mwl wetu huyu amegusa maisha yetu tulio wengi.
  8. T

    GE2020 Baada ya kumuhifadhi marehemu katika nyumba yake ya milele ndipo balozi akasimama kutangaza Jambo ambalo alidai kuwa limetoka kwa wakubwa!!

    Hizi habari zimetangazwa leo hadi makanisani huku Mbeya. Hii nchi inakoelekea sio kabisa.
  9. T

    Fahamu zaidi kuhusu la ugonjwa wa Vitiligo na tiba yake

    sio ugonjwa wa kuambukizwa huu mkuu. Na hautibika bali kuna unaweza kuzuia usiendelee kwa ambaye anakuwa kaupata.
Back
Top Bottom