Recent content by tucker carlson

  1. tucker carlson

    Janeth Rithe ACT: OCD hana haki ya kututaka tumuandikie Barua ili turuhusiwe kukagua miradi

    Kada wa Chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ametoa onyo kali kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) na Jeshi la Polisi kutotumika kisiasa kukwamisha shughuli za ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika kata zinazoongozwa na madiwani wa chama hicho Akihutubia mkutano wa hadhara wakati wa ziara ya...
  2. tucker carlson

    Dorothy Semu wa ACT: Kuna Wanafunzi 566,816 walioanza la kwanza 2020 hawakufanya Mitihani ya Darasa la 7. Wako wapi?

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, ameitaka serikali kueleza walipo wanafunzi 973,178 walioshindwa kuhitimu elimu ya msingi na sekondari mwaka 2026. Akizungumza katika mkutano wa hadhara kwenye ziara ya chama hicho, Semu amebainisha pengo kubwa la mdondoko wa wanafunzi kati ya...
  3. tucker carlson

    Anna Henga LHRC: Kuchelewa kutolewa kwa uamuzi wa mapitio kulisababisha kesi ya Lissu kusimama kwa miezi sita

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Anna Henga, amesema jaribio la upande wa mashtaka kuongeza ushahidi mpya katika kesi ya Tundu Lissu lilisababisha kesi hiyo kusimama kwa miezi sita na kuongeza muda wa mshtakiwa kukaa mahabusu. Zaidi Soma: Anna Henga LHRC...
  4. tucker carlson

    Anna Henga LHRC: Lissu kuzuiwa kuona mashahidi wake kuliathiri haki yake ya kujitetea

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Anna Henga, amesema matumizi ya mashahidi wa kificho katika kesi ya Tundu Lissu yaliathiri haki ya mshtakiwa kujitetea kikamilifu. Soma Pia: Anna Henga LHRC: Kuteswa kwa waangalizi wa kimataifa kwenye kesi ya Lissu...
  5. tucker carlson

    Anna Henga LHRC: Lissu kuwekwa pamoja na waliohukumiwa kifo kunaibua maswali kuhusu uzingatiaji wa Katiba

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Anna Henga, amehoji hatua ya mshtakiwa Tundu Lissu kuwekwa gerezani pamoja na wafungwa waliohukumiwa adhabu ya kifo (death row), licha ya kuwa bado ni mahabusu ambaye hukumu dhidi yake haijatolewa. Akizungumza na waandishi wa...
  6. tucker carlson

    Anna Henga LHRC: Kuteswa kwa waangalizi wa kimataifa kwenye kesi ya Lissu kumedhoofisha taswira ya Tanzania kimataifa

    Wakuu, Akizungumza na waandishi wa habari, kiongozi Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Anna Henga (LHRC) ameeleza kuwa kituo hicho kimesikitishwa na matukio ya kukamatwa, kuteswa na kurudishwa makwao kwa waangalizi wa kimataifa waliofika nchini kufuatilia mwenendo wa...
  7. tucker carlson

    Wanawake wa Iran waanza mafunzo ya Kijeshi ikiwemo kujilinda dhidi ya vita na Marekani

    Jeshi la Iran limefungua kambi ya mafunzo ya wanawake kujilinda wenyewe mjini Tehran,katika kipindi hiki ambacho kuna ugomvi unaoendelea kati yake na Marekani. Video zinaonyesha wanajeshi wa ulinzi wa Iran wakiwafundisha wanawake hao jinsi ya kupiga bunduki na namna ya kuteremka kwa kamba...
  8. tucker carlson

    High Court Of Tanzania releases full written Judgment on Tundu Lissu Treason Trial

    The High Court of Tanzania has officially released its written judgment concluding the high-profile treason trial against main opposition leader Tundu Antiphas Lissu, confirming his acquittal on treason charges while sentencing him to four years’ imprisonment for incitement under substituted...
  9. tucker carlson

    Nakala rasmi ya Hukumu ya kesi ya uchochezi iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania dhidi ya Tundu Lissu

    Kwa mliokuwa mnaulizia, nakala rasmi ya hukumu ya Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda ya Dar es Salaam) katika kesi ya jinai namba 000019605 ya mwaka 2025 kati ya Jamhuri na mwanasiasa Tundu Antiphas Lissu, iliyotolewa tarehe 6 Novemba 2026 na Jaji Dunstan Ndunguru. Kwa mujibu wa hati hiyo, Lissu...
  10. tucker carlson

    Jibu gani ulilisikia kutoka kwa konda wa Daladala likakuacha mdomo wazi?

    Mimi daladala ilinikuta stendi nikawa sina uhakika kama imejaa au haijajaa Nikamuuliza Konda kama ndani ya daladala kuna siti akaniambia we panda dereva atashuka hapo mbele utakaa
  11. tucker carlson

    Ni App gani unayo kwenye simu lakini huitumii kabisa?

    Mimi kuna hii App aliweka shangazi inaitwa Snap Chat Naionaga tu kwenye simu lakini sijawahi kuitumia kabisa
  12. tucker carlson

    Ukipewa chance uende Mbinguni na kitu kimoja utabeba nini?

    Wakuu, Mimi nitaenda na Fire Extinguisher na Gari la Zima Moto Nyie mtaenda na nini?
Back
Top Bottom