Tatizo la wabongo bwana Daktari kaongea mnataka aseme kitakacho kufurahisha aina ya mawazo mabovu,pure sudist mind mnaambiwa hana Tatizo ooooooooooo semeni mtaaibika Nchi ngumu kukubali ukweli HAUMWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII KAFANYENI KAZI AU MZEE UNATAKA...
Post yangu ni result ya post ya Achebe alosema kuwa NAPE ana elimu kuliko Mnyika my intrest ni kupata facts from Achebe juu ya swala nililouliza then tuweze kujadili hilo ndg umekimbia kabla ya kuanza kutembea
Kaka/Dada hebu kabla sijatoa mtazamo wangu niambie NAPE amemaliza degree ya kitu na chuo gani?ili tuweze ku evaluate elimu yake na baada ya hapo tumfananishe na Mnyika.
Naomba msaada wako.
Lucas Selelii Lumambo.
Kwa miaka 15 ameshindwa kulisaidia jimbo lake kwa jambo lolote,wananchi wanao ishi km kadhaa karibu na mgodi wameathirika visima vyao vya maji vimeathiri vimeathiriwa
Na uchafuzi wa Mazingira wa Mgodi kwa kuwa ana malori pale hawezi kukemea na matairi ya magari hupewa na...
Wana Jf
Nimesukumwa kuandika post hii baada ya kupata tetesi kuwa mwenyekiti anaenda Tabora kutowa msaada wakati mpaka leo hii hatuja pokea mishahara yetu.
Mwezi ulopita tumepokea tar 8,juzi imetumwa email na idara ya uhasibu kuwa ttusitegemee mishahara soon hili ni jambo la kuikitisha...
Mimi nilifanikiwa kuangalia shughuli yote kupitia Star TV jana na sijaona sehemu Mtanzania walipokosea, lakini hebu tuangalie magazeti mengine
1. NIPASHE: PENGO ATEMA MOTO MAZISHI YA ASKOFU
- Ahoji kulikoni ufisadi kila kona
- Auliza wapiganaji ni wakweli...
Kwanza Wanajamii,let me put clear my Stand ninaunga mkono maamuzi ya KABWE ZITTO.
Mbili;Nimesikitika andiko la Kibanda kuonyesha wazi anafanyakazi ya muajiri wake angeweka wazi msimamo huo mapema ningemuelewa.but akiwa mwanahabari ninae muheshimu nimesikitika sana kuona kuwa Tayari...
Kaazi kweli kweli,Kwanza si kweli ulichoandika,na kauli inayomuhusu Guninita anayodai kuwa ilitamkwa na JK ni aina mpya kabisa ya uongo uliopo katika medani za kisiasa katika Nchii hii,JK hakutoa kauli kama hiyo.
Pia ni aina mpya ya Uzandiki na uongo uliotumia hapa unataka kutuaminisha kwa...
Wana Jf taarifa zilizonifikia sashivi ni kwamba JK amemuita Sita na kumwambia kuwa hali ya ukumbi umeina nitakupa DK kumi ujiteteee ukizitumia vizuri utapona ukishindwa kuzitumia sitazuia wazo la wewe kutakiwa kurudisha kadi ya ccm.
Taarifa zaidi ni kuwa babu sita wapambe wote wamemkimbia...
Kaka/Dada umeleta hoja nzuri kabla hatujajadili msimamo na kauli yake tuangalie Background ya Selelii.
1:Kielimu Selelii ni Form Four na amejaaliwa kufaulu kwa D mbili uchama sekondari.
2; Kisiasa, selelii ameingia bungeni 1995,kwa msaada mkubwa toka kwa RA,2000 pia ktk kura za maoni...
Hi ni hoja ya kipumbavu (samahani kwa lugha kali lakini sina njia nyingine ya kuonyesha mapungufu ya hoja hii ya shangazi)
Hakuna uhusiano kati ya kubanwa kwa selelii na huyu kijana unaemtaja na kauli aliotoa,Pia selelii kutoa kauli kama alotoa ni mtazamo wake maswali muhimu ambayo...
Hivi lini Falsafa hii ya mtu akifanya kitu tunaanza kujiuliza KATUMWA NA NANI?why tusiulize kitu kilichomsukuma kufanya jambo hilo badala ya kuwaza huyu katumwa.
Aina hiyo ya mawazo mgando ni hatari sana ktk jamii,Bashe nzega i think ni kwao,na kwanini uulize mkutano wa JPILI tu usiulize...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.