Tunazungumzia viwanja usitoreke 😂😂😂😂.
Anyways nilikua google naangalia viwanja za burundi ili walau nije nikushauri ufungue uzi wa viwanja vya mpira muwaalike burundi, au unasemaje.? 😂😂😂
Hili wazo lako umechelewa kulitoa kaka, miradi mbona ilishaanza kufanywa, saivi wana bargain kuleta mipya tu, na ni miradi mingi kinoma. Kwasababu lengo lao ni kuyafuta majengo yote ya zamani ya NHC pale mjini kati. 😂😂😂.
Arusha enyewe tayari washaanza kujenga. NHC imeanza na kukwamua ile miradi iliyokwama for instance mradi huu. 👇🏾 hii meru bussines park ni mradi mpya wa juzi tu. 👇🏾eneo hili hili kuna mradi wa 13 floors building unakuja sokoine square 👇🏾
Huu apa mradi mwingine wa hotel unakuja hapo Arusha 👇🏾ndio...
Likija suala la viwanja Tz league yetu au watu waliotuzidi ni South Africa ukanda huu wa mataifa ya watu weusi Sub Saharan Africa, hivyo vitaifa vingine vijipange
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.