Unajua hata mm nilikuwa na kamoyo kakutaka kuwatetea kuhusu suala Hili , lkn niseme ukwelii tuu 😂 Kuna raha yake mwanamke ambaye unaenda kumuoa umtoe bikra mwneyewe .
Sio kwa Ile post niliyoiyona TikTok na wanawake wakachangia mule ndani aiseee nilisoma comment za wadada Hadi 😂😂🥲 Hadi nikajuona...
Ahsante sana kaka kwa hii thread tatizo watu wa kuconectia nao ndio tatizo apo 🙆🙂↔️ maana wengii wao wahsafelishwa hivyoo ugopaa pia kutusaidia na sisi wengine .
Hii thread ishaharibika , mtoa mada jifunze pia communication skills, maana thread Yako nzurii lkn maneno uliyotumia sio mazurii . Unaweza jiona kwlei upo sahihi lkn umeshindwaa kutumia lugha nzurii ya stara kuwavutia audience .... Kwa kuwadogosha au kutumia kebehii mwisho wa thread Yako...
Ansema mnatumia ad haminem fallacy kwa sababu bahada ya kujibu hoja mnamuaattack mtoa mada , anyway jibuni hoja yake tupo kujifunza na kueleweshana ... Alichokiandika mwisho wa mada zile ni mbwembwee tuu
Hile nyuzii yake nnimeisoma kwa kwl mshikajii sometimes anandikaga vitu vya akilii , mda mwingine ndio binadamu tumeumbiwa makosa sio kila mda yupo sahihi ,
Sisi huku kwetu udom unalipia somo pesa ulilocarry , ni mwendo wa pesa tuu 😂.
Tena unalipia kutokana na credit ya somo lako , kama ni unit 9 jiandae tisini ,🙆😹... Amna pa kuponea.
Na pia ilo jina ni zurii sana mm pia nalipenda sana nakumbuka nilikuwa nikimuita mchumba angu 😹.
Kiukwlei ni majina tulivu , wenye akilii na kujihamini.
Mara nyingii hata darasani wanafanya vzurii , ni Moja ya jina Bora sana nimecomment kwa sababu limekumbusha penzi langu la zamani😂🖐️
Hii thread bila jina la brother Natafuta Ajira ulikuwa bado aujatimia.
Respect sana kwake , ana maneno ya ukweli kufundisha vijana Hadi yaanuma 😹 . Ni ngumu sana kumeza .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.