Recent content by Travel

  1. T

    Kufanya mazoezi ni jambo la muhimu sana

    Na mimi chinga muuza mitumba nifanye mazoezi?
  2. T

    Hivi watu mnao miliki simu za gharama mnapata faida gani?

    Ni sawa na wewe chumba chako umejaza mandoo na majaba huyo kijana akija kuona atakushangaa pia
  3. T

    Hivi watu mnao miliki simu za gharama mnapata faida gani?

    Mwenye hii thread atakimbia siyo mda maana mnampelekea moto
  4. T

    Nachukia sana ninapoona maskini anazaa watoto wengi. Ndugu, jamaa na marafiki maskini wanapoongeza watoto wengi, wananikera sana

    Wanazaa vibarua wa viwanda vya wachina na bakhresa maana wazaz maskin unafikir kipi kinaenda kutokea kwa hivyo viumbe maskini
  5. T

    TMA: Hali ya mawingu kiasi na vipindi vya jua

    Kwani mnaishi wapi mbona huku mvua kila siku zinanyesha
  6. T

    Nikiwa A-Level na chuo, nilikuwa napiga bao tamu sana kwenye mtihani mgumu!

    Hii mimi imewahi nitokea kwenye paper ishu ni wasi wasi hivyo hivyo yaan unaambiwa bado dakika 10 na kuna swali haujalifanya duh hilo hal ikawa inatokea 4m 4 mara moja Advance hapana lkn chuo pia mara moja
  7. T

    TMA: Hatujawahi kusema kuna Mvua za El-nino, wanaosema hivyo Wanapotosha

    Si aliwaambia watu wahame mabonden kwahy kama Elnino ya Jua ukiwa mabondeni unaathirika na hilo Jua
  8. T

    Kwa connection ile ya Harmonize mvua za El Nino zikija tutapona kweli?

    Mshatolewa kwenye ishu ya PM wameleta hii msahau kule na wamefanikiwa Bongo nyumbu wengi sana tena. Sana yaani akili hata hawana hiyo clip imekuja kuziba ya PM, CCM itaendelea kuongoza hizi ng’ombe vizazi na vizazi
  9. T

    Goba parachichi 7000

    Watakuja hapa watakuambia tafuta hela, safi sana umesave Elfu 33
  10. T

    Makonda: Tutaangalia kama Dudu Baya anaweza kuwajibishwa kisheria

    Huyo cocastic ni msagaji kwahyo msishangae akisapot hayo mambo shame on u
Back
Top Bottom