Hivi munatokwa nini na mapovu kiasi hicho? CCM ni nani aliye msafi....? Tupende tusipende hayo ndiyo maisha ya viongozi wa CCM kwa ujumla wao hivyo maadamu tumrridhia watuongoze, basi naomba TUWAVUMILIE. Labda kama mleta hoja una agenda nyingine.Kidumu Chama Cha Mapinduzi. Ndiyo hayo sasa
Ati ni msomi anayetegemewa na Taifa kwa ajili ya ukombozi wa fikra na Demokrasia ya endelevu hapa Tanzania.Hivi Hashim Rungwe aliyegombea yeye anatoka chama gani kama si cha upinzani...??? Au alitaka kuona awe miongoni mwa wale jamaa zake wa zamani aliowasaliti wa CDM.....???
Ati ni msomi huyo...
Ndugu S.Noel nataka kukujuza kuwa alichowasilisha Askofu Zacharia Kakobe kwa Raisi wa Jamhuri ya Tanzania Mh.J.Kikwete SIO UTABIRI ila ni UJUMBE WA WAZI kutoka kwa MUNGU kwake binafsi na kwa Watanzania kwa ujumla wetu.
Pili,umesema kuwa Askofu Z.K ana hasira na CCM pamoja na Serikali...
Ruiz chuki ya nini kwa CDM.....?Kisa ZZK kutaka kufukuzwa CDM....? Acheni siasa hizi za maji taka, CDM iwachukie Waislamu kwa sababu gaini...?Kwa. nini ninyi watu mnapenda kupandikiza siasa za chuki na kufifisha dhana nzima ya Demokrasia ya Vyama Vingi.....??? Shame on you both.
CCM ni tatizo kubwa sana kwa ustawi wa demokrasia ya kweli na mustakabali wenye manufaa kwa Taifa la Tanzania.Ooooh....!my GOD till when.....??? utatuondolea hili jinamizi CCM,ajenda ya Katiba Mpya haikuwa yao wameidandia....ona sasa wanataka kutuletea KATIBA TAKWA YA CCM na siyo KATIBA TAKWA YA...
Mr Lyimo nakubaliana na wewe 100% kwa maelezo yako kuhusiana na hili suala Lowasa.
Hata hivyo sitojutia sana huyu Mheshimiwa akikosa nafasi ya kuwa Rais wa Nchi hii.
Sababu yangu ya msingi ni kutokana na kuwa si mtu mvumilivu sana kwa wapinzani wake waliokuwa ndani ya Chama chake na zaidi...
Nasikitishwa na mwenendo wa kisiasa hapa Nchini ambao umekosa uvumilivu mkubwa wa Kisiasa kiasi cha kumwaga damu za wanainchi wake kwa ajili ya utashi wao wa kisiasa. Mkuu wa Nchi anapoendeleza mauwaji kutokana na kauli yake dhidi ya vyama vya upinzani sikutegemea kuona kauli kama hii inaweza...
Mkuu Dalingo hila za CCM ni nyingi sana hukumsikia mkuu wa kaya juzi kwenye kikao cha Viongozi/wawakilishi wa vyama vya siasa akiwatahadharisha kuwa "Watakachoamua wanasiasa juu ya Katiba hii,basi hata wanainchi hawatapinga watakubaliana nao "Kwa maana hiyo wajumbe hawa wa Bunge la Katiba...
Wakati Habyalimana(r.i.p) alipokuwa Raisi wa Rwanda waasi RPF wakati huo walitaka mazungumzo yafanyike kati yao na Serikali ya Habyalimana kuhusu wao kushirikishwa katika Serikali ya Habyalimana,na mazugumzo yaliandaliwa na Tanzania na yakaanza kufanyika Arusha-Tanzania.
Leo hii Kagame ni Raisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.