Ndugu,Nimescan andiko lako.Umegusia Vitu 6 kwa wakati mmoja.Kwanza Ni Ukopaji wa Serikali,Pili Ukopajia wa Sekta Binafsi,Tatu Ukuaji wa Uchumi,Nne mzunguko wa Fedha,Tano Uwekezaji na Sita Uwiano wa Deni na kukua kwa uchumi.
Sijajau eneo lako la Utaalamu.Ila haya mambo ukiyatazama yote kwa...
Shida ni hilo neno Kuhack.ILA AI inaweza kuhack CCTV Camera maana kwanza nyingi wamiliki hawabadili default password na kama una physical access ni rahisi kuconnect.
Ila kama Unataka kuhack nakushauri uache maana ni kinyume na sheria na unaweza kwenda jela,kutozwa faini au vyote kwa pamoja
Haswaa,Yaani hapa nimetafakari vitu vingi sana.Imagine imeshare hadi namba ya simu ya kutoka kwenye mawasiliano mengine ikampa huyu mpya na ikacopy style yangu ya chats na vi emoji vya kijinga.In short ni kwamba HIZI AI ni NJEMA ila zinahitaji utaalamu wa kuzisimamia or else zitakuja kuzusha...
Habari za wakati huu;
Mimi ni mdau wa technolojia na mara zote huwa nafanya majaribio kwa lengo la kujifunza zaidi na kuhakikisha ninaenda na wakati.Kwa sasa hivi nimewekeza nguvu na muda zaidi katika kujifunza utumizi wa AI katika shughuli zangu.Andiko hili ni Tangazo lakini Simulizi...
Kwa wamiliki wa biashara zenye tovuti,Developers
Limetolewa Tangazo kuhusu Vulnerability ya kimfumo katika lugha tumizi ya PHP ambayo inatumika sana katika Uundaji na uendeshaji wa Tovuti nyingi duniani.Kwa mtumiaji wa kawaida,Athari yake ni uwezo wa mtumiaji mwenye nia mbaya kufanya shambulizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.