Recent content by Totoirse

  1. T

    Waraka wa Shigongo kwa Ze Original Komedi

    Nadhani Shigongo hajakosea , pia mwana kapatia kuitia humu hii habari. JF ni jukwaa zuri la mawazo na uchambuzi. Ukitazama mtiririko wa Shigongo wa watu mashuhuri waliododa haupingiki, hivyo bila kujali moral authority ya mtoa mada ni kweli hawa vijana wa orijino komedi wamelewa sifa na...
  2. T

    Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni kuelekea uchaguzi

    Hakuna tusi hapo mkuu. Unawaka bure tu, katika medani za siasa vijembe,kejeli na misemo vina nafasi yake kubwa sana. jaribu kupanua wigo wako wa kusoma makala na matukio ya kisiasa. Kwa mtazamo wangu japo sijui umri wako wewe ndio umekosa adabu kwa mama yake Mh Zitto, In politics always...
  3. T

    Uchaguzi Busanda: Majigambo, Uteuzi na Kampeni kuelekea uchaguzi

    Hakuna tusi hapo mkuu. Unawaka bure tu, katika medani za siasa vijembe,kejeli na misemo vina nafasi yake kubwa sana. jaribu kupanua wigo wako wa kusoma makala na matukio ya kisiasa. Kwa mtazamo wangu japo sijui umri wako wewe ndio umekosa adabu kwa mama yake Mh Zitto, In politics always...
  4. T

    Viongozi wa Dini na Hatma ya Tanzania

    The church leaders of this country and many in other Afican countries are hypocrites, good at nothing and best at shifting goal posts when their interests are jeopardised Pengo and the entire catholic fraternity have,since independence,being the biggest beneficiaries of flawed political system...
  5. T

    50 People Who Are Screwing Up Tanzania

    Waua nchi na wauza nchi muna sura nyingi Asante kwa kujitambulisha, unaturahisishia kazi wazalendo
  6. T

    Mengi and Litigations

    Mkuu stop being subjective, am grateful 911 has exposed your hypocricy and double standard through the contents of your earlier threads on Mengi. Hakuna wa kumfunga paka kengele Mengi akijitahidi nongwa and take it from me mafisadi and their cronies will never stand the HEAT this coming...
  7. T

    John chiligati vs wapinzani: Vita vya maneno!

    It seems uchochezi only comes from upinzani and media fratenity but not bureaucrats and ccm stalwarts. By his utterances Chiligati has failed the nation greatly Mheshimiwa futa usemi wako kisha omba radhi wananchi. 2010 yaja
  8. T

    Kagoda: Ni Rostam

    kazi nzuri ya majina ya makampuni yaliyotufisidi lakini naomba kutoa marekebisho kidogo kuhusu umiliki wa Njake Hotels mmiliki ni Japhet Lema sio Jeetu Patel
  9. T

    Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal

    rostam kashaanza kuogopa kivuli chake. kama alivyosema N. Mkono C C imejaa mafisadi ambao hawataki wanamapinduzi. RA position on EPA scandal is the ultimate test to Jakaya and his cronies, will they dare to bite the hand that feeds them? regardless of how dirty that hand is ! Wawe macho maana...
  10. T

    KIWIRA na MCHUCHUMA: A Campaign To Reclaim...

    mgomi wake up. Two wrongs doesnt make a right. Fisadi ni fisadi tu hata kama alikusanya kodi nyingi haimfutii uchafu wake. Last year ya mkapa ofisini Tanzania imefisidiwa kuliko kipindi chochote tangu tupate uhuru. Unless you are also a beneficiary of this well established corrupt syndicate i...
  11. T

    Ajiunga CCM adai NCCR imejaa Ukabila, Usiri, na Ubinafsi!

    makahaba wa itikadi hawa! Ni hatari kuliko nuclear warheads. Let them enjoy big reception by makamba but soon ccm will despatch them into political oblivion. Bhakome ukabila ameuona leo ? Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi ,kwa kuondoka kwako chama kitapumua na kitapata muda wa kusimamia na...
  12. T

    VIP Airport kuna maslahi ya taifa?

    wabunge wamesahau ukweli kuwa tiketi ya kuingia huko bungeni imetolewa na wapiga kura wao matokeo yake badala ya kuwatukuza wapiga kura wao kwa kupigania na kusimamia kwa nguvu zote maslahi ya wananchi wanabaki kujitukuza wao. Ama kweli demokrasia inaleta ghasia.
Back
Top Bottom