Recent content by Top for B

  1. Top for B

    Inakuaje mtu anafanya kazi ya kuajiriwa maisha yake yote?

    Hapa tuzungumzie waajiriwa wa tamisemi
  2. Top for B

    Mr Chris Pappas amtambulisha mumewe hadharani baada ya kushinda kiti cha Seneta (LINDA MGONGO WAKO)

    Haihitaji kuandikwa huku ili watu wafanye, hizo ni hisia na hazizuiliki Tena wewe mzee pasko nikupe taarifa kwa ufupi tu, kwenye vijana wako...... nukta.
  3. Top for B

    Msigwa amvaa Paul Chacha kuhusu sakata la Nchimbi

    Ila msigwa alijivua nguo hadharani, Namshauri akae kimya maana lolote analoongea sasahivi ni sawa na kutingisha chululu na kende baada ya kujivua nguo
  4. Top for B

    Watanzania lazima watambue serikali haijali haki za wazawa na wawekezaji hasa Wachina, Waarabu na Wahindi wasipofuata haki hawachukuliwi hatua yeyote

    Kwa sababu raia wa kigeni serikali zao zinajitambua Ukimshikilia raia wa marekani au raia wa china mahabusu balozi zao zinapata taarifa na hawawezi ruhusu mtu wao alale mahabusu au kufungwa jela Utapigwa mashinikizo hata kwa kutumia nguvu maana wanajua hatuna akili
  5. Top for B

    Jaji Mkuu George Masaju: Viongozi mnaowaonea watu, Mungu atawaadhibu kifo

    Aliyepewa dhamana ya kusimamia haki na yeye analilia haki Baada ya karne kadhaa vijana wakija kupitia historia huku mitandaoni watacheka sana Watacheka kama sisi tunavyomcheka Chief Magungo wa Msovero
  6. Top for B

    Dkt. Veronica: Siogopi kutekwa nilifukuzwa kazi kwa kumtibu Tundu Lissu

    Ndio vichaa wa sisiem mlivyo, we mambo binafsi ya mtu yanakuwasha Unaanza kuwatetea unamponda mwanamke ambaye ameamua kupaza sauti kwa ajili ya taifa Shame on you
  7. Top for B

    Dkt. Veronica: Siogopi kutekwa nilifukuzwa kazi kwa kumtibu Tundu Lissu

    Tangazo limefikia mlengwa
  8. Top for B

    Alcohol Quiters: Sober Days Counter

    Najua ipo siku nitaacha mana sasa hivi nikilewa weekend nalala ndani siku tatu na hangover Mwezi wa sita nimeacha weed, mwaka wa nne nimeacha sigara na vyote sioni nikirudia Siku ya pombe inakuja pia Substance ni ujinga sana but we are cooked generation
  9. Top for B

    Dkt. Veronica: Siogopi kutekwa nilifukuzwa kazi kwa kumtibu Tundu Lissu

    Wanawake wanasimama kwa ajili ya taifa ila wewe ndio upo huku kuwapanulia matako ssm huna ata aibu gasho wewe
  10. Top for B

    Ni nani hao wanaomtishia waitara baada ya kukemea ushoga na usagaji?

    Waitara na mnaoshabikia wote ni wajinga sababu hakuna mjadala unaoweza kuzuia mapenzi ya jinsia moja Hilo bunge lina kazi kubwa sana ya kujadili utawala wa sheria na haki uliovunjwa waziwazi leo kuliko mambo ambayo watu wazima wawili wamekubaliana kufanya bila kubugudhi mtu yeyote Pia watu...
  11. Top for B

    Dudu baya amehongwa ili akae kimya? Mbunge Mwita Waitara alalamikia kutishiwa maisha

    Hiyo kampeni ya dudubaya haina faida yeyote Sanasana inaonesha ni namna gani tanzania kuna watu ambao akili zao zipo matakoni zinafuta upepo unapoenda kama mleta mada
  12. Top for B

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana Tanzania

    Pipe wapigwe wengine alaf wewe ndio inakuwasha Unadhani kuna namna hata ukiwa na hasira zako unaweza kuzuia watu kufir*na?? Kakojoe ulale utafte na mambo ya kukueka bize
Back
Top Bottom