Recent content by Tomaa Mireni

  1. Tomaa Mireni

    Logical contradictions zilizopo kwenye kitabu cha Mwanzo cha Biblia ambazo ni uthibitisho tosha kwamba, Biblia ni hadithi na hekaya za kutungwa tu!

    Una uelewa mdogo, kwa hiyo mwanga unaozalishwa na taa unatokana na jua? Kuna tofauti kati ya mwanga na jua, haiitaji akili ya darasani
  2. Tomaa Mireni

    Alichosema Ali B ni ukweli kwa Dunia ya sasa

    Japo upendo ni bora kuliko kila kitu ila pesa inaweza kuvunja kila kitu. Nakumbuka hata mkoani nakotoka pesa inaweza kukufanya ukawa kama mungu mtu, kila mtu unaweza kumtuma na kumkoromea. Ukiwa na pesa makosa yako kwa wazazi watapewa wengine, iwe ni wadogo zako au kaka zako, ukiwa na pesa...
  3. Tomaa Mireni

    Kuhusu AI contents kwenye Mitandao ya kijamii

    Mimi hata kuangalia tu naona kero kubwa sana, hazina uhalisia na hazivutii
  4. Tomaa Mireni

    Nashauri watu wa mikoani msiruhusu mabinti zenu kwenda kufanya kazi za ndani Arusha na Kilimanjaro, Wanawake wengi wa huko ni wakatili

    Wazo zuri sana l, serikali ingeleta mfumo wa aina hii wangeteseka au kutafutwa kwa tabu
  5. Tomaa Mireni

    Nashauri watu wa mikoani msiruhusu mabinti zenu kwenda kufanya kazi za ndani Arusha na Kilimanjaro, Wanawake wengi wa huko ni wakatili

    Hayo yanafanywa na maboss wengi sana,hata mm nimewahi kupitia hali hiyo lakini bado sihalalishi kuwa ni kwa wote
  6. Tomaa Mireni

    Nashauri watu wa mikoani msiruhusu mabinti zenu kwenda kufanya kazi za ndani Arusha na Kilimanjaro, Wanawake wengi wa huko ni wakatili

    Mateso ya nyumba 1 huwezi kuhalalisha kwa mikoa miwili,huna ushahidi wa kutosha,hata Dar tu pekee wapo waajiri makatili lakini hatuwezi kusema ni mkoa mzima
  7. Tomaa Mireni

    Napinga mechi ya ngao ya jamii kupelekwa Zanzibar

    Endeleeni kuvumilia mpaka 2030
  8. Tomaa Mireni

    Marekani yafikwa na upungufu mkubwa wa silaha

    Hata makampuni yakiwa na silaha bila mnunuzi zina faida gani? Makampuni hayaendi kuzitumia kupigana, Makampuni hayana wanajeshi wa kuzitumia bila mteja wao serikali. Serikali haiendi mikono mitupu kuchukua silaha bila pesa. Kwa hiyo hoja yako imekufa rasmi
  9. Tomaa Mireni

    Tetesi: Janga zito toka TTCL kwa wafanyabishara wa Wi-Fi

    Kwa sasa nimeachana nao rasmi, mpaka watakaporudisha mfumo wa mwanzo
  10. Tomaa Mireni

    Tetesi: Janga zito toka TTCL kwa wafanyabishara wa Wi-Fi

    Asee mtaani ni majanga,kumbe mwanzo mlikuwa mna access ya logins?
Back
Top Bottom