Nafurahishwa na mitizamo na pani zilizonazo kambi mbili tofauti zinazotunishiana vifua kuhusiana na kuukubali au kutokuukubali uongozi wa Mwendazake John Joseph Pombe Magufuli.
Nafurahi kwamba kuna ustahimilifu mkubwa baina ya kambi hizi mbili bila kusababishiana madhara japo yapo kidogo.
Kwa...
Alikuwa akinichanganya sana, maana kazi ilikuwa inapigwa kweli kweli, na akibutua anabutua kwelikweli.
Kama hii ya pensi duuh 😆 mbele ya wazee, kujisifia na kutaka attension viliharibu status yake.
Bashiru alikuwa anamkunja lkn mbishii, nilishuhudia kny ibada ya mazishi ya Dr Mengi Moshi...
Uko sahihi, itakuwa alifariki miaka ya 90 mwanzoni, jina Manengelo miaka hiyo tulilifananisha na jini. Mkisikia Manengelo kapita mitaa yenu miaka hiyo hamlali kwa wiki kadhaa.
Tafrani ya kupotea kwake ilitokana na tuhuma za kutaka kumdhulumu mhindi mmoja jijini Mwanza ambaye alikuwa akimdai...
Yaani yaaani yaaaniiiiii..!!!!!
Mkuu umeongea pointi kama zote,
Mimi nilioa mfanyakazi akajikatia bima yake, enzi hizo hawakuangalia vyeti nikaweka mtegemezi ambaye naye sasa ana maisha yake, that's 1
Cha pili,
Mshahara unaongezeka, makato yanaongezeka, wategemezi wanaondolewa kwa umri...
Nyerere alikuwa sahihi,hakuna tulichokosa tuna amani, upendo na umoja vituleteacyo furaha ya kweli.
Na sasa tuko tayari kwa better future yetu na watoto wetu.
Labda tuharibu sisi wenyewe.
NI KUHUSU WANAFUNZI WA SHULE ZA MSINGI KUKARIRI DARASA
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi. Nikiangalia agizo la waziri wa elimu Prof. Ndalichako nabaini lina athari kwa wanafunzi ambao uwezo wao ni wa chini.
Katika muda ambao baadhi ya wilaya katika mikoa mbalimbali imekuwa na sera ya...
Zitto umeongea yaliyo katika muktadha wako kuyaongea, lkn uhalisia si huo.
Nikutahadhalishe tu km ambavyo JPM aliwahi kumjibu mwandishi wa reuters pale Kampala alivyozuru Uganda 2016 shortly...
'' its either you choose human rights (democracy) or corruption"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.