Recent content by Toboa_tobo

  1. Toboa_tobo

    Watanzania ni wabinafsi, asikudanganye mtu! Wenzetu wanatekwa, wanapotezwa - tupo kimya!

    Watu wanatekwa kupotezwa na kuuwawa ila hakuna anayechukua hatua kwasababu wao sio sisi, bora yetu yanatunyookea hatujali maumivu ya wenzetu. Hii inakatisha tamaa, wenzetu Wakenya wametupigania sana ila kwetu sisi kelele zinasikika kidogo kisha ukimya na giza totoro, ni nani ameturoga? Ametekwa...
  2. Toboa_tobo

    Uwanja wa Samia Suluhu Hassan, Arusha: Gharama na tuhuma za ufisadi

    Uwanja wa Samia Suluhu Hassan uliopo eneo la Olomoti, Arusha, ni uwanja unaojengwa kwa ajili ya maandalizi ya Tanzania kuandaa AFCON 2027. Kuna jambo muhimu: gharama ya awali iliyotangazwa, makadirio ya mfumo wa zabuni na gharama ya mkataba ni takwimu tofauti. Hivyo ni vizuri kuzitofautisha...
  3. Toboa_tobo

    Mwigulu Nchemba "Mbioni kutumbuliwa?"

    Raisi Samia Suluhu Hasan yupo mbioni kumtumbua waziri mkuu Mwigulu Lameck Nchemba. Upepo wa ndani wa kisiasa unaonyesha kwamba kuna mtafaruku unao fukuta ndani kwa ndani kati yake na raisi wa jamhuri na team yake akiwemo mwanaye Abdul Hafidhi Ameir na mpambe wake wa karibu Angela Kiziga. Hayo...
Back
Top Bottom