Recent content by Tluway

  1. T

    CHADEMA kuteketezwa

    .....CHADEMA mnasemaje mpo sawa kwelikweli....
  2. T

    New Targets: Slaa na Raia Mwema

    Kwa hilo la Slaa kugombea urais linahitaji mkakati wa kikwelikweli si utani angalieni matokeo ya kura za serikali za mitaa walinzi wa kura zetu wapo wapi?. kwanza kuwe na mkakati wa kugombea Udiwani na ubunge katika nchi nzima ambao wanakubalika kwa wananchi wetu, sasa kazi itakuwa pale tume...
  3. T

    New Targets: Slaa na Raia Mwema

    Kwa hilo la Slaa kugombea uraisi linahitaji mkakati wa kikwelikweli si utani anagalieni matokeo ya kura za serikaliza mitaawalinzi wa kiura zetu wapo wapi?
  4. T

    Wananchi Msata wafunga barabara itokayo Arusha

    ..Hiyo ni kali wanafanana na waliokosa usafiri wa RITES toka India kwenda Kigoma. Pamoja na hayo mkuu wa kaya kasema hayo yote sawa maadamu mnaonyesha hisia zenu kwake jambo ambalo ameliita muhimu sana lakini si kutatua matatizo yenu... kidumu .....
  5. T

    Uongozi Mpya wa CHADEMA kuelekea Uchaguzi Mkuu 2010

    Jamani Tafadhalini tusimwite ZITO FISADI WA DOWANS haipendezi ni kutomndea haki...maana mtaaharibu maana ya kuwa FISADI......
  6. T

    GE2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    ...Kila mtu ana mawazo yake na mtazamo wake lakini wewe yako kali sana... Wewe sio mpambanaji ni mtu wa kusubiri matokeo ya mapambamo tu ila unakata tamaa ile mbaya......hufai kuwa karibu na watu wanaopigania haki zao umeshatawaliwa maana Hao wanofaidika na rasilimali za nchi hii nani...
  7. T

    Je Zitto Amepoteza Uhalali wa kuwa Kiongozi?

    ..sijui hayo ya "FIRST LADY ".... kama ni kichwa sahihi..... ..........Taratibu tu tutafika.Kumbukeni kuwa kuna upo uwekezaji hata katika SIASA, tushishangae siku hizi ndivyo mambo yalivyo natumaini tutafika tu kama asemavyo mwandishi moja, ..Familia pia inaweza ikawekeza katika siasa...
  8. T

    Kitabu cha Wangwe chaanika ukweli tunaotakiwa kuujua

    Ama kweli umeandika makala nzuri lakini CHADEMA nao wamesoma haya na wanapaswa kutuandikia nini msimamo wao kuhusu kitabu cha Wangwe. Nina shanga na kupigwa na bumbuwazi kwanini mambo haya amabayo yanatakiwa yawe agenda ya kila siku kama vile UFISADI ndani ya bunge yanopojitokeza katika...
  9. T

    Wapinzani waibua mapya

    Hi ndio fad ya Bunge kufanya kazi kwa ilikadi...sasa hao Wabunge ambao leo wanapata shida uya kuzomewa na mwingine nasikia kachomewa nyumba sijui wapi kule...ndio sababu wanapata KIUNUA MGONGO HASWA.. na hiyo nayyo sio Hongo kwa wahwshimiwa je PCB wanaweza kuanza uchunguzi.......
  10. T

    Viongozi wa Dini na Hatma ya Tanzania

    ....Mzee mwanakijiji umetoa mada safi sana sasa sijui kama Waheshimiwa mawebofya na kujionea nini maoni ya wafuasi wao? Mimi nikileta kumbukumbu zangu hasa wakati wa kampeni niliwahi kusikia kuwa mzee JK "alikuwa ni chaguo la Mungu" kutokana na maelezo ya Viongozi wetu... Hili lilikuwa Jambo...
  11. T

    Hoja ya Zitto, Dk. Slaa, imejibiwa na kufungwa

    ...Huyu Tambe.....alitaka maisha rahisi baada ya kuona ndani ya upinzani maisha yanahitaji mitulinga na yeye ameona afadhali kuyarudi amatapishi yake mwenyewe bora ....sasa analeta pumba hoja za kibabe kama waliompokea wanvyojiona wao wana hati miliki ya nchi hii pamoja na maisha yetu... siku...
  12. T

    Siri ya SHEIN

    Mzee ulikuwa na hisia kali....msaada wa kupata nyama....toka kwa mfadhili......
  13. T

    Kikwete's speech live on TVT

    Nashangaa kama hata hajasema wananchi wavumilie MFUMKO WA BEI kwa sababu uchumi umekuwa pasenti bla bla ......! Mwenge hoye!...hata hii pia, labda angepata makofi sana....
  14. T

    Nini Kumbukumbu Yako Ya Baba Wa Taifa?

    Nakumbuka sana ule wimbo wa KABURU MATATA HIYA!!!!!! naanza kuona maana ya makabwela na matajiri.....
  15. T

    Toa maoni yako

    Hivi ni vichekesho tu,waziri anaposafiri nje ya nchi kwa kazi nyeti kama hiyo inawezekanaje Rais asifahamu? hata huo mkataba mpya ungefanyiwa kazi wapi? anahusika maana mpaka leo angelimwajibisha....janja ..yao ...
Back
Top Bottom