Recent content by Titleless leader

  1. Titleless leader

    Nipo Iringa natafuta laptop ya kununua Iwe SSD processor angalau 2.4, bajeti 250,000

    Nipo Iringa natafuta laptop ya kununua Iwe SSD processor angalau 2.4, bajeti yangu 250,000
  2. Titleless leader

    Natafuta chumba cha kupanga , karibu na chuo cha MUCE Iringa

    NAOMBA MSAADA WA KUPATA CHUMBA KARIBU NA MUCE, IRINGA Habari za wakati huu, wakuu. Nimepata nafasi ya kujiunga na MUCE, Iringa, lakini ninatafuta chumba cha kupanga maeneo ya MUCE Naomba msaada kwa yeyote mwenye chumba au anayefahamu mtu mwenye chumba karibu hata kama choo na bafu ni vya nje...
  3. Titleless leader

    Nahisi mume wangu ana watoto wa nje ya ndoa

    Relax,,tuliza akili kwanza,
  4. Titleless leader

    Biomedical engineering

    Naomba kujuzwa kuhusu kozi ya biomedical engineering,,, Soko lake la ajira lipoje
Back
Top Bottom