Umesema Ulaya mabasi na commuter trains zinasaidiana kusafirisha watu.
Huku miji yetu hatuna train tuna mabasi mengi.
Mabasi yenyewe marefu sana. Unataka yakikutana mabasi marefu matatu tu kituoni mengine yachelewe kuondoka yakisubiria mengine yashushe na kuondoka ili nayo yapate sehemu ya...
Lissu siyo mfungwa kabla ya hukumu.
Mahabusu kuna sheria yao tofauti na mfungwa.
OP anahoji uwepo wa sheria inayoweza kumpa ruhusa ya kwenda kushiriki kumzika ndugu wa mahabusu.
Siyo wanasimba sisi.
Ninyi mnaomtaka Ramovic ndiyo shabiki wa Simba ili mje muwacheke uongozi wa Yanga.
Huyo siyo kocha mzuri hasa kwa mpira wetu wa Afrika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.