Fursa njema kwa kila Mtanzania
Huu ni ukumbusho, ndugu wakala,mfanyabiashara, mkuufunzi,walimu na wafanayakazi wa ngazi mbalimbali,
Tunapenda kukufahamisha ya kuwa tunatoa Tili ya vodacom M-pesa, kama utahitaji, tutaomba ututumie photocopy ya Tin-TRA, leseni pamoja na kitambulisho chako...