1)Time isio na uitikadi ya watalaam waliomba na kutanyiwa interview .
2)Selikali za mitaa wawe wapiga kura na sio wasimamizi wala waratibu wa zoezi LA kura yoyote ya maoni.
3)Matokeo ya kila kituo yabandikwe eneo husika .
4)Vyombo vya dola vibaki walinzi wa usalama na wasiwe na mamlaka ya kuamua...
Walamba asali ndio kikwazo cha upatikanaji wa katiba mpya has a rasmu ya pili ya maji Warioba sio rafiki kwao wachache walamba asali.
Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
Uko vizuri mtoa maoni.
Niongeze kidogo wanasiasa wasihodhi mchakato .Rasmu ya pili pendekezwa ya katiba mpya ya jaji warioba inatosha kuidhinishwa iwe ndio katiba ya Jamhuti ya Tanzania
Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
Muundo wa Selikali 3.
1.Selikali yaJamhuri ya Tanganyika.
2.Selikali ya Jamhuri ya watu wazanzibar
3.Selikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
NB:- (1-2) Ndizo zibaki kuwa na lasli Mali watu,Jeshi,polisi,Takukuru,Vikosi vya uokoaji,Jeshi la majini na nchi kavu na angaa.
Uidhinishwaji nchi...
Maoni:-
Mchakato huo udhingatie
1)Msingi mkuu wa mchakato watohowe mengi kutoka Rasmi ya pili ya Jaji Warioba.
2)Mchakato usibakwe/kuhodhiwa na wanasiasa ingawa nao kwa uchache washiriki walau mtu mmoja kutoka kila chama cha siasa.
3)Mchakato wa katiba mpya uhusishe wanasheria wabobezi wa...
Ndg Watanzania,
Poleni kwa kwa ukosefu wa mvua kunakotishia ukame mkali na njaa kali kama ile ya¹980 kipindi ya ungaa wa (yang"ofe) nikisema hivyo wenzangu wa mkoa wa Kagera mtakumbuka vizuri pengine na maeneo mengine pia.
Ndg Watanzania miundombinu iliyo jengwa, inayoendelea kujengwa...
Vodacom ni mtandao muhimu sana kanda ya ziwa.
Ziko kasoro MF:- Vifurushi kuwa ghali sana makato ya huduma za M Pesa na vifurushi vya data gharama juu data kidogo.Lekebisheni vutia toa huduma ya rafiki kwa mteja wengi wamebaki na huduma za kupiga na kupokea simu tu.
Tanesco mna Fanya kazi vizuri sana lakini
Lini mtatufikia wengine kwa kutupa huduma ya nishati ya umeme?
Niko igombe "B" ni kweli ukiingia ktk mifumo yanu eneo hili Lima umeme tena kwa kiwango kile rafiki cha tsh 27,000/- lakini eneo hili mnalifahamu vizuri? Kuna eneo kubwa tu hatujafikiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.