Recent content by Therealfazah

  1. Therealfazah

    Afrika Kusini: Mchina Hai Shi anagombea Udiwani kupitia chama cha African National Congress (ANC)

    Kwaiyo unataka kusema nini yani mzee? Unadhani Tanzania kuna watu wameharalisha ilo swala?
  2. Therealfazah

    Ukiandika mali zako kwa jina la mama yako, hizo ni mali zake. Anaweza kuziuza, akifariki ni mali za urithi za watoto wote

    Ao ndugu kwanini nao wa demand mali za mama angu Kivyovyote vile, mali zangu zitasoma jina la bimkubwa. Hapa sishauriki aseeh
  3. Therealfazah

    KERO Shule ya Msingi Safi, Wanafunzi wanaingia darasani Saa 12 Asubuhi wanatoka Saa 1 Usiku

    Kwaiyo mtoto wa darasa la nne kuwa na cm kwenye begi lake ni tabia mbaya?
  4. Therealfazah

    Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

    Kile kiumbe hapana asee 🔥😂
  5. Therealfazah

    Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

    Mnatuza culture gani? Au ni ya kusuka rasta?
  6. Therealfazah

    Ni diss track ipi kali ya muda wote Bongo?

    Unagusa busha wazee, unakuja bila tarehe, utakufa kabla ya barehe, unajicontradict Sana, unanitukana wakati unajitukana, unamtukana dada angu ambae ni dada ako pia nawe Una dada pia anapakatwa na anasaura tunaemjua adi jina anaitwa paula,😂😂😂, sidhan kama patakuja kutokea nondo kama izo
  7. Therealfazah

    Umewahi kufanya biashara ikakushinda? Kwa nini? Tupe story tujifunze

    Duuuh pole Sana broo, kwaiy ulishindwa kubalance unachoingiza na unachotoa inshort, asante nimenoti hii
  8. Therealfazah

    PostGE2025 Ufafanuzi wa Serikali Kuhusu Kura ya Kamati za Bunge la Ulaya (EU) Dhidi ya Tanzania

    Wanaficha ili tusione wakati tayari tushajua, utata uja tunapoaza kuwachunguza Fid q (propaganda).
Back
Top Bottom