Recent content by theodros

  1. theodros

    Meja Jenerali Muhidini Kimario(Kamanda Mbogo) afariki dunia

    Kwa vielelezo na kumbukumbu za mahakama hakusomewa na hakukukuwa na shitaka alilosomewa la kujimilikisha majengo au mali ya umma.
  2. theodros

    Mfahamu Meja Jenerali Muhiddin Kimario. Ukisikia mzalendo ndio huyu

    Labda utueleze kwa nini haliwezekani? Maana kwenye profile yako inaonekana unajua vitu vingi sana ndugu Mng'ato! Na labda utatusaidia katika historia uliyonayo ni wakina nani walikuwa vijana waasisi wa TANU mwaka 1954 pale Moshi, si unajua historia huchangiwa na watu tofauti!
  3. theodros

    Mfahamu Meja Jenerali Muhiddin Kimario. Ukisikia mzalendo ndio huyu

    Taarifa hii ina mushkeli kidogo, niliwahi kumuandika huko nyuma na hii ndiyo historia yake kwa ufupi! 1937 Alizaliwa, Moshi mjini. 1954 Muasisi wa TANU moshi Mjini 1957 Mwalimu Mkuu wa Kwanza wa Shule ya Mwenge (Moshi Mjini) 1962 TANU ilimchagua kwenda kusomea uongozi 1963 TANU ilimchagua...
  4. theodros

    CCM tumefikaje hapa tulipo?

    Hili ni swali zuri sana! Kwanza, kupoteza dira ama mrengo. CCM ni chama cha kijamaa ama cha kibepari. Hakuna swali gumu kuliko maswali yote hata kwa mwenyekiti wa Taifa kama swali hili. Sasa kama wenyewe hawajui wanaenda wapi tunategemea nini! They are neither socialists nor capitalists...
  5. theodros

    Dr. Shein kumrithi Kikwete

    Ukiacha sababu za kibinafsi za watu nje na ndani ya CCM, kwa sasa hivi hamna mwenye vigezo zaidi ya Dr. Shein! Binafsi siwezi kusema kuwa hana kashfa lakini ukilinganisha na hao wenzake, yeye ana simama juu sana. Siwezi kusema hana kundi (well zaidi ya CCM)lakini, miaka kumi iliyopita makundi...
  6. theodros

    Meja Jenerali Muhidini Kimario(Kamanda Mbogo) afariki dunia

    • 1937 Alizaliwa, Moshi mjini. • 1954 Muasisi wa TANU moshi Mjini • 1957 Mwalimu Mkuu wa Kwanza wa Shule ya Mwenge (Moshi Mjini) • 1962 TANU ilimchagua kwenda kusomea uongozi • 1963 TANU ilimchagua ajiunge na Jeshi na kupelekwa Israel kusomea masuala ya kijeshi...
  7. theodros

    Real Problem Between Kagame and Kikwete is Snitching

    Tatizo lipo..Uchumi na M23 pia yanachangiwa na kung'aka kwa Kagame. Kuingia kwa Watanzania na wa afrika kusini nchini Congo ni tatizo kwa WaRwanda na ni kitu kimewaudhi sana. Na amini kinachomuudhi zaidi, JK amepiga fitna mpaka ameweza kuwapokonya ukamanda wa kikosi kile wa afrika kusini kwani...
  8. theodros

    Pediatric nurse required

    An exciting career opportunity for a Certified Registered Nurse to work for private pediatric clinic located in downtown Dar es Salaam. The individual should have some pediatric nurse experience and be able to communicate well and appropriately with children and their parents or guardians...
  9. theodros

    Thomas Sankara (1949-1987) - Muasisi wa taifa la Burkina Faso

    The Late Captain. Thomas Noel Isidore Sankara "All I want is people to remember me as someone whose life has been helpful to humanity" Exactly twenty five years to date, we remember a true African son....Captain. Thomas Noel Isidore Sankara who lived a simple life and true to his words...
  10. theodros

    Nani kuwa Katibu Mkuu Mpya wa CCM?

    Kama ni Kapt. Jaka Mwambi basi CCM itabadilika na labda kuinusuru na kufika sehemu. Balozi nchini Urusi. Mwanachama mzuri wa CCM. CCM ipo kwenye damu kabisa, huyu ni kweli ukimkata anatoka damu ya kijani na njano na bado anadumisha fikra za baba wa Taifa. Nikiwa na maana ya kuwa ni muadilifu...
  11. theodros

    Shujaa: Maj Gen Mwita Chacha Marwa "Kambale" Afariki

    Mwenyezi Mungu amlaze peponi.. Alikuwa ni kamanda aliyepiganisha vita na kushinda kwa kishindo. Kama askari alikuwa ni askari wa hali ya juu na mtiifu na kweli mwenye kupenda nchi yake. Alikuwa askari wa aina yake na aliyejaaliwa uzazi wa kutosha (watoto 56). Nimesoma posti nyingi humu ndani...
  12. theodros

    Idrisa abadili mawazo. Hatojiuzulu tena

    Huyu mheshimiwa kapeleka barua ya kujiuzulu kwa mheshimiwa rais, labda mheshimiwa rais amekataa...Mbona ni kitu cha kawaida kabisa
  13. theodros

    Katibu Mkuu ashinda kwenye banda la Tanzania akiuza utalii London

    tatizo waendesha nchi hawajui job description zao, kufanya kazi kwa uwoga na kufanya kazi kwa kutaka sifa...mtendaji mkuu wa wizara anaishiaje kwenye banda la utalii kama siyo uchizi tu
  14. theodros

    JK kwenda Ufaransa leo

    You haven't lost him, he just has a different title, the Prime Minister.
  15. theodros

    List of Shame: Mrema na Slaa wazungumzia Vigogo wa Ufisadi Tanzania

    Huyu jamaa yeye mwenyewe ndiyo fisadi nambari moja, na anavyoendelea kushangashanga na kuuza sura na porojo zake za vijiweni ndiyo inadhihirisha kabisa. Tatizo ni kwamba hajui maana ya kuwa kiongozi na hususan rais wa nchi. Labda akisoma hii nukuu hapo chini ataelewa kidogo. " In his farewell...
Back
Top Bottom