MImi ningekua wewe wala nisingerudi mezani kukaa ningemuashiria wife kwamba tusepe wakati hio naongoza kutoka nje ya ukumbi. Siwezi kuaibika kiasi hicho na bado nisubirie pilau 😄😄
Unajua nanii.. vijana wengi kabla hawajaoa hua wanadhani kwamba wana hela. Hii ni kwasababu matumizi binafsi yanakua madogo hivyo mtu kuweza kumudu maisha kirahisi. Hata akiwa na kabiashara anaanza kuona kama kanalipa ananunua na kausafiri.
Ukishaoa sasa ndio unashangaa kama kwa mwezi ulikua...
Sasa watu wote nchi nzima tutanunua Toyota jamani? Sasa hii itakua nchi au branch ya Toyota! Wengine tunapenda variety hata kama zina matatizo tunapambana nayo na hatulalamiki!
Hizo Toyota zenyewe sio kwamba ndio hazisumbui, kuna watu zimewapiga kitu kizito hawataki ata kuzisikia.
Mimi nafikiri haya ndio maelezo pekee yanayo make sense.
Kabla ya kuzaliwa hatukuwepo, wala hatukujua chochote. Baada ya kufa hatutakuepo, wala hatutajua chochote.
Tatizo binadamu tumedanganyana kwamba sisi ni viumbe "special", tuna roho iliyotoka kwa Mungu, tukifa roho inaendelea kuishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.