Pole mi mwenyewe mzee maswanga ndo maana nkakuelewa haraka nina fast track nhif card nashida ya meno kama ma 3 yanahitaji root canal je wapi ntapata huduma makini,na kama lazima private je bajeti niandae sh ngap
Dawa ni hii kanunue kuku awe wa kienyenye hasa hasa ,kisha kwenye filigisi kuna ile ukishaipasua kuna ngozi ya ndani weka kwenye chungu ikaange kazvu mpaka upate unga wake chemsha ile kuku kunywa supu yake na huo unga ,kisha baada ya lisaa utatapika ,ww hutakunywa pombe mpaka yesu ataporudi...
hujui elimu yangu kwa nini utumie lugha isiyo kiswahili? Una academic arrogance syndrome pole sana.
Mm economist lakini akiniuliza maswala ya kiuchumi daktari najua ujuzi wake wa kiuchumi ni wachini ntajishusha lecel yake na kuziepuka technical jargons ili lengo aelewe ,siwe mtajia deep.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.