Recent content by The Man

  1. T

    Nifanyeje ili niwe na uwezo mkubwa wa kufikiri?

    Chukua dictionary pamoja na vitabu vingine vya maarifa mbalimbali ( kama physics , biology , philosophy etc) kulingana na eneo unalotaka kuongeza maarifa. Chukua sufuria kubwa ( kama huna azima) chemsha pamoja dakika tatu then weka mbilimbi au ndimu na tokosa pamoja kwa dakika 15. Kunywa maji...
  2. T

    The lecture.

    Mkuu hii imetulia sana....
  3. T

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    nafikiri wewe ni miongoni mwa watu walio kosa hoja kabisa katika hii mada......beter keep quite na ujifunze katika hoja zinazotolewa!
  4. T

    Ulikuwa wapi siku zote...? Eh...?!

    Nothing is permanent except "CHANGE".....Always remember this!!
  5. T

    Redio Clouds na mambo ya kitoto

    Ile ni CLOUDS FM ENTERTAINMENT hivyo sioni tatizo kubwa kwenye hilo.....kinachonoshangaza zaidi ni wewe ambaye unaboreka na redio hiyo lakini unai-tune na kusikiliza siku nzima ili uje kulalamika JF....... station zipo nyingi na lila moja ina namna ya kufurahisha stalke holders wake.
  6. T

    UVCCM: Hussein Bashe amjibu Nape kiaina

    Wewe unachuki binafsi.....ingekuwa vema kama ungekuja na logical arguments hapa lakini ulichokujanacho nishutuma ambazo zimeelea na zinakosa mashiko. Bashe kaongea mambo ya msingi sana, na kama wewe ni CCM hiyo ndiyo tiba pekee kwa chama chenu, na sio DRAMA za kujivua gamba. Unachofanya wewe...
  7. T

    Siri zaidi: Kesi dhidi ya balozi Mahalu - Wapishi wa zengwe hawa hapa

    Sijaona kitu chochote ulichoweka hapa, zaidi ya jitihada zako za kuwapiga watu majungu yasiyo na msingi. Please provide more docs to substantiate your claims..... mambo mnagombana na mshoga huko unaleta hapa sio jukwaa lake hili.....!!!
  8. T

    Makamba: Msifadhaike!

    Wewe umetumwa weww.....Kifupi Makamba hafai kuendesha taasisi yeyote isipokuwa familia yake.....!! aliprove failure kabisa, hakuna kumpaka mafuta hapa ....."he is nothing but failure":bored:
  9. T

    Malipo ya Mamilioni Parastatal Pensions Fund (Invoices): Rewarding and Defending Corruption

    Kimsingi hawa si Watanzania hata kidogo...... pia ni wezi wakubwa na stahili yao ni kunyongwa.......
  10. T

    CONFIDENTIAL: TANESCO, RICHMOND, DOWANS and BoT

    Kuna wakati nahisi napata hasira mpaka nataka kuwehuka......kwa msingi huu tutawatoa TANESCO kafara tu....tunatatizo kubwa mno la kiutendaji serikarini ...PUUH
  11. T

    Magufuli bila madaraka yukoje?

    With due respect to your opinion....tunao viongozi wengi sana ambao wameshindwa kutimiza majukumu yao katika scenario zote mbili ulizo zieleza. Namaanisha wakiwa na madaraka hata bila madaraka. Kama Magufuli ameweza kutumia madaraka yake kusimamia taratibu na kanununi alizozikuta kwa ukamilifu...
  12. T

    Kikwete Hana Mchezo!

    Nasikia alikwenda Loliondo kwa babu kunywa dawa........may be sense zimerudi...
  13. T

    Dr. Mwakyembe na Dr. Slaa watishiwa kuuawa

    Mkuu nafikiri umeungumza suala la msingi sana..... whether we like or not uchawi upo na wanobisha wanajua hilo na hakuna mambo ya usomi hapa. Isitoshe naanza kuingia mashaka Dawa ya Professor Majungu imeanza kufanya kazi kwa baadhi ya watanzani......!!
  14. T

    Sophia Simba ni Waziri Bogus

    Mkuu ... huyu mama nahisi bwana mkubwa ANAMKAZA, sababu huwezikuwa na waziri mwenye dhamana kubwa ambaye ni mbumbu kiasi hiki unless unamaslahi mengine.......ni bogus kupita maelezo.Mwanzoni nilifikiri labda anateleza siku mojamoja, lakini sasa ndio nimeamini huyu mama ni hamnazo. Eti ndio...
  15. T

    Kwanini Makamba na wanaye wanapenda kujionyesha na kujitangaza?

    Acha ushambenga , chuki na kuanzisha thread za maji taka hapa. Kama ni kujiita majina kunawatu wanajiita majina ya ajabu tu humu ndani lkn hujawaona......hakuna anaye katazwa kwenda kwenye media, na kama media zina wafata wafanyeje.....binafsi simpendi Makamba kiutendaji not personally...
Back
Top Bottom