Si Waswahili huma kuwa Vita vya PANZI ni furaha kwa KUNGURU.
Sasa wao kila siku wapo busy kupambana kuisambaratisha Chadema sasa kama Heche anawasaidia tatizo lake ni lipi. Yaani leo anataka kuaminisha kuwa anaaionea huruma Chadema? SHAME ON HIM.
Tatizo la maCCM wanafanya mabo kwa hisia.
Yaani hapo kwa vile watu wamecheka hiyo hukumu na kuonyesha kwamba kesi ilikuwa ya mchongo sasa wameona aibu wanataka kujisafisha kwa kutumia mahakama ya rufaa. Ndiyo maana tayari Masaju keshaanza kuwaonya watu kuhusu hukumu zao.
Yah right. Maridhiano yanafanyika kwa masharti yenu .... halafu hamtaki wengine watoe masharti....!?
Hivi kwa nini hamtaki kabisa kuleta mtu neutral kuendesha maridhiano... mnaogopa nini?
Nyie mkitukana ni sawa. Akitukanwa yeye inakuwa NONGWA .... Hivi Ritz utakuwa lini...!!?
Kama hakuweza kufanya Maridhiano kabla ya MO wakati akiwana mikono misafi atawezaje kufanya maridhiano sasa....!! Then itabaki kuwa slogan mpaka mwisho.
Lakini Chadema walishawahi kuomba maridhiano toka wakati wa Magufuli pale Kirumba kupitia Mbowe.
Maza alipoingia na 4R zake maridhiano yalikuwa kati ya hizo 4R.
Watu tusijifanye kuchanganya mambo hapa kupotosha madai ya Chadema. Chadema walipoomba mardhiano walidai kwamba watu wao wengi...
Hiyo ni plan B. Watakuwa na plan nyingi. Itakayofit mambo yao muda ukifika ndiyo watakwenda nayo.
Huoni hata hiyo katiba mpya waliyodai iko kwenye ilani yao sasa Maza hata hataki kusema watafanyaje fanyeje. Anajifanya kama vile hajui wanataka kufanya nini ....... kuja na katiba mpya au...
Hakuna hiyo. Tatizo huwa wanatishwa na kufanyiwa figisu mpaka wana surrender wenyewe. Muulize Sumaye yaliyomkuta .... mpaka mashamba yake yakaanza kuchukuliwa. Hiyo ndiyo FISIEM.
Kwa hapo Mzee Mayalla sikubaliani na wewe .... yaani hiyo tume mchongo ambayo watu wanaitwa Ikulu tu na kuhutubiwa na kuambiwa anachokitaka yeye tayari maridhiano yanaanza. Hata huko Zanzibar hawakuitana kienyeji hivyo. Kuna wazee walitumwa kwanza kwenda ACT ili kuonyesha seriousness. Hapa...
Mbona kuna wengine picha zao zipo mitandaoni lakini mpaka leo wameshindwa hata kuwaita kwenye tume zao kuwahoji. Inaelekea wanahangaika sana .... kama Mama yao alishasema kuwa nguvu iliyotumika ilikuwa sahihi sasa wanahangaika kutetea nini ....!!?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.