Recent content by The Dojin

  1. T

    Wasukuma watamu mno!

    Tayari Kijana kaingia kwenye mfumo
  2. T

    Mwalimu atoa malalamiko ya mwajiri ofisi ya makamu wa raisi Dodoma

    Tuma na humu tuone as long as umeleta taarifa ni haki yetu kuona unless huu ni umbea
  3. T

    Mwalimu atoa malalamiko ya mwajiri ofisi ya makamu wa raisi Dodoma

    kitini kiko wapi cha malalimiko?
  4. T

    Jakaya Kikwete: Ameomba umoja wa mataifa UN kuhakikisha uchaguzi Sudan unafanyika kwa njia ya amani na bila ghasia

    Nashangaa sana watu wanaoona haya mataasisi ya kimataifa kwamba yana maana
  5. T

    Mahakama ijitahidi kuepuka mipango miovu ya wanasiasa

    Unapoteza muda wako kubishana na tilalila
  6. T

    Nimempoteza mke wangu kipenzi

    Pole sana kaka Mwenyezi Mungu akupe nguvu kwenye kipindi hiki kigumu hakika na hata hili utavuka
  7. T

    UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Usipende kutukana kila mtu mdogo wangu, soma uelewe kilichoandikwa kama unadhani hii kesi ya Lissu kwamba ushahidi una nguvu unajisumbua bure, mimi siko hapa kwa sababu ya njaa na sina njaa anaweza kukulisha wewe na familia yako miaka kumi tano kazi yako ikawa nikupigwa pipe tu
  8. T

    UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Hiyo inakupa picha kwamba tayari wameshajua hukumu kama kuna mtu anaona kwamba kuna nanafasi ya Lissu kushinda hii kesi anajidanganya
  9. T

    Tupeane taarifaa: Huko mikoani mapolisi barabarani kukoje?

    Huku mjini wakaki ni wengi na vimulimuli vyao
  10. T

    UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Kwa hiyo unaniombea na mimi dua mbaya? mimi nimekutana na magari mengi ya polisi sio leo tu jana yalikuwa mengi kila kona hiyo inakupa picha ya nini kitaenda kutokea
  11. T

    UPDATES: Lissu ahukumiwa miaka minne jela kwa kosa la Uchochezi

    Ndugu yangu unadhani hukumu ingekuwa njema ungeona gari la polisi mtaani ndani ndani linafanya patrol? jiongeze bwana kama unategemea ushahidi waliowasilisha upande wa jamuhuri hauna mashiko unajidanganya bure
Back
Top Bottom