Recent content by THE CRITIC

  1. T

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    tunalo liona hapa ni mgongano wa kimawazo ambao upo imbalanced kwelikweli. There is a tendency now developing of blaming mwalimu for today's misfortunes by showing mwl ndo aliyapika na haya ni matokeo yake. This is especially in the economy and these are popular beliefs of western models of...
  2. T

    Lowassa anyimwa Visa ya kuingia UK?

    Sio habari za nchi tu,nchi ambazo zinahitaji visa ni lazima uchukue visa hata kama una diplomatic passport. Inachokusaidia tu ni unaepuka procedure za mwananchi wa kawaida za kupata visa na chances za kukataliwa huwa na ndogo. pia mkumbuke baada ya lile sakata la wabunge wa cuf, guidelines za...
  3. T

    Best Quote: "Hata ingekuwa JM ningemtosa"

    wanandugu naombeni mnipe info Za mama alichokisema bungeni ikiwezekana mtupe hotuba nzima kwani wengine tupo ughaibuni so hatuwezi kuangalia mijadala ya bungeni. U are the only source of info za nyumbani tuliyonayo. BRAVO WANAJF
  4. T

    In DEFENCE of LOWASSA (Warioba & Butiku on it)

    Ndugu yangu Pundit, are you a law scholar? mbona unatumia terms out of place. No precedent was set coz lowassa hakuhukumiwa na wala tume ya mwakyembe si mahakama. Pia kilichomfanya Lowassa ajiuzulu ni yaliyokuwamo kwenye ripoti. if he believed he was clean, he had time for rebattle in the...
  5. T

    In DEFENCE of LOWASSA (Warioba & Butiku on it)

    I dont think you know what you are talking about. wewe ndo unatumia emotions to come to lowassa's rescue. Tume imefanya kazi nzuri na inastahili pongezi na wala haijamuonea Lowassa. Labda Lowassa angeeleza kwa kina ni kipi tume ilichokitaja ambacho ni cha uwongo. Tume ilichofanya ni to lay...
  6. T

    Mizengo Pinda Waziri mkuu!

    Lets hope ameona yaliyomkuta mwenzie yeye atakuwa makini ila anoanekana ni mtu makini tatizo as we all knw system nzima imeoza it needs a major revamp. lets see kwanza hlo baraza la mawaziri
  7. T

    Watoto wa vigogo na upendeleo wa ajira nyeti serikalini

    Ndugu yangu Massanja hapo umekosea sana i dont think the intention ni kudhalilisha familia za watawala. Hamna mtoto wa Gandhi au Bhuto aliyepewa mamlaka bila qualification. Most of the families with the exception of Bush have sacrificed their lives for their service to their countries, hebu...
  8. T

    Watoto wa vigogo na upendeleo wa ajira nyeti serikalini

    That is a problem sio tu Tz,ila the world over. the difference with TZ ni kwamba in most cases hao watoto hawana qualifications za kuwa kwenye hivyo vyeo. Hebu imagine form 4 leaver kawa accountant BOT! Je mtoto wa kapuku ambaye ni form 4 leaver angepeleka vyeti vyake BOT angepewa kazi?! i think...
  9. T

    Nakuuliza hivi Mheshimiwa JK...

    Mtu wa Pwani, i dont think that is the right way of thinking, Matatizo ya Muungano hayatatuliwa kwa appointment of one person to be the governor of BOT, neither do i believe this should be given as a token to Zanzibar. Nashangaa hujui hata jina la aliyekuwa appointed yet his name is allover the...
Back
Top Bottom